Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Karibu sana mgeni...!
The Great Gatsby
The Great Gatsby
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23].......siku JF ikiingiliwa halafu picha zetu zikawekwa wazi nitakomaje!!Mzee wa vyura, sikupati pitch unafananaje
Hadi imebidi nidhibitishe kama umejiunga Jana.
Karibu sana jf.
Onyo
sumbai ni Mume wangu akikufuata huko pm usimkubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwambi@[emoji23] [emoji23] [emoji23].......siku JF ikiingiliwa halafu picha zetu zikawekwa wazi nitakomaje!!
HahahahahaUsisahau kumwambia kuwa mimi ni mbadala wa sumbai kwako pia!
Zipo FB!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Wahenga humu., ukijichanganya unalo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]. Ulishawahi kusutwa hadi ukasahau I'd yako.?
Ohooooo!!
Yani hata hii nimeona sahivi. Sorry mamy[emoji85] [emoji85] [emoji85]Pm yangu cuzoo huoni au [emoji134]
Yana matatizo ya akili.Watu wa humu wanajifanyaga jf wana hatimiliki nayo,,sijui yapojee
Kama bado haujanywa chai, pata supu hotel yoyote ya kimataifa nakuja kulipa.[emoji119][emoji119][emoji119]Nilichogundua majority ya watu humu wameanza kutumia mitandao ya kijamii baada ya smartphones kuja sasa wakimuona mtu kajoin muda si mrefu halafu kachangamka kama culture hapa ndio wanawaza kua alikua mwenyeji wakati watu tupo kwenye social nets kabla hata ya haya ma smartphone, watu tunaenda kwenye Cyber centre (Internet cafe) tulikua na ma akaunti Afrointroduction sijui Pinpal mara Qeep hehehehe
Inafurahisha kuona kuna watu wanadhani jf ni ulimwengu mwingine na ni wao tu ndio wanastahili kuwepo.....
NOOFFENCENOHARDFEELINGS.
lolest.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hata mi wakati najiunga ilikuwa hivyoo hivyooYana matatizo ya akili.
Yenyewe yapo tuu hayachangii kitu cha maana zaidi ya kudisi[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41].
Kama wana maind wa left wao[emoji23][emoji23][emoji23]