kakomaa............Duuuh!
Acha uchangudoa.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Pambana nao tu
Wasikupangie maana jf umeipenda mwenyewe na bundle lako
kuna watu wamegeuza humu boma la ukoo hawataki wageni sijui wanahisi watabebewa vibwana vyao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una msema dada mahondaw nishajua.Enjoy mwayaaa[emoji8]
Hata bwana wa maana hakuna ni vichupkunuka tu[emoji86] [emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
anamsema mahonda huyu.Siku hizi una madongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
"Kyuuuutiiiii biiiiii."
Umenikumbusha mtu ananiitaga hivi.
sumbai nimembadilishia password hawezi ingia huku ha ha ha [emoji133] [emoji133] .
Siisii mahondaw furaha ya Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kutumia id ipi? Hii ambayo password unakaanazo wewe?Hadi imebidi nidhibitishe kama umejiunga Jana.
Karibu sana jf.
Onyo
sumbai ni Mume wangu akikufuata huko pm usimkubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee.....
Ha haaa yani nawewe umeiga dah.....
[emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madame S
Ni vizuri sababu anaimarisha ngome yake[emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hivi Ni vizuri hivi kweli?
Hapo sasa. Ndiyo maana nakupenda maana unajua Ku surrender.Kwa kutumia id ipi? Hii ambayo password unakaanazo wewe?
YessAiseee.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi unaikumbuka mission yangu? Unadhan itaafanikiwa kwa kubaniana huku?Ni vizuri sababu anaimarisha ngome yake
Madame S