Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Aisee kuna Uzi nmesoma jamaa anasema "" Baby doll mrembo anayetishia ndoa za wahenga """"" nakwamna kaandika Uzi wa ACHEN WIVUMara oooh umejiunga Jana unaandika kama mwenyeji[emoji57][emoji57] . kujichanganya ndiyo mpango mzima.
Eti hujakamilisha hata siku una comment nyingi itakuwa wewe mwenyeji[emoji50][emoji50][emoji50]. Sasa nakuwaje mwenyeji na nimejiunga Jana?
Mara sijui like nyingi[emoji24][emoji24]ndiyo zangu kwani kuna mtu kaibiwa zake?
Hamjui hata kukaribisha wageni, mnamsimanga mgeni hadi Mtu ukiwa na roho nyepesi unaweza kuleft.[emoji24][emoji24][emoji24].
Sasa sileft tunabanana hapa hapa.
Haya usiku mwema[emoji119][emoji119][emoji119]
Nikaamua kumtafuta ,,Kumbe niwewe hapa .
Ujumbe.
Wanawake Kwa wanawake hawapendan ( n.b kutokana na maelezo yako).
Watu mnapenda sana likes sana
( nawashauri nenden ule Uzi walikes yaan kule hata ukiandika kinukta unapata like).
Ukiona likes unapata nyingi sana ujue majamaa yanataka ujue nani anakupa likes ( jiandae PM ).
.
Hongera kwenu wanaume was JF ambao mmeamua kumkaribisha Kwa likes ,,mkiogopea kua mnafatiliwa so the best way ni kulike tu .....
Hongera kwako we BABY DOLL Wenda Mawazo yako unayoyatoa ndio yanakutofautisha na wengine hence watu wanakupa ma likes tuuu ...lkn km nilikes ktk " papuchi ,,,kugegedena n.k sawa likes ni likes Ila kuna likes za twende mbele km kule kwenye Uzi wa likes ..
Aiseee karibu sana JF karibu Kwa wanandugu wa serikali ya viwanda chini ya Rais Mchapakazi Muadilifu ,,Mpenda watu wote, mwenye nia njema nataifa asiyetikiswa nakitu ,,na mnyooshaji Wa walokua wamezoea kuishi kiujanja ujanja ,,Rais ambaye Sasa ivi kila Nazi lazima ufanye application kwaiyo niwewe na CV zako Basi naye so Mwingine Ni RAIS JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]