NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Kitaalamu hilo kosa linaitwa Arson yaani kuharibu mali.Hata mali yako mwenyewe ukiichoma moto au kuharibu jamhuri inakushitaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madai yake bima ilipe deni.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] sasa anaikomoa bank ama anajikomoa mwenyewe?
🤣 🤣 🤣 🤣 kukopa harusi, kulipa matangaMadai yake bima ilipe deni.
mimi natafakari huo umri wa miaka 25 anamiliki mali zaidi ya milion mia mbili wakati mimi nimepanga chumba kimoja na nina miaka 30"s na sijui kesho yangu ni ipiPOLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321 DKW, Ahmedi Hemed (25), kwa tuhuma za kuchoma moto basi hilo na kusingizia kuwa moto huo ulitokana na matatizo ya mfumo wa breki.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, amesema kuwa watuhumiwa hao walikula njama ya kufanya tukio hilo baada ya mmiliki kushindwa kulipa deni la basi hilo kwa moja ya taasisi za fedha nchini linalodaiwa kufikia zaidi ya sh. milioni 200.
View attachment 1561670
Tabia hizo wanazo wadosiMambo ya bima hayo, watu wanajilipua
humo sehemu za uwazi zingine ni maboot ya kuwekea mizigo bro usijifanye kujua kila kituHilo basi lililounguzwa, lilikuwa na mfumo gani wa matairi, triplet kama semi trailer?
Basi gani la hivyo, au ili mradi wameweka tu picha ya gari lililoungua?
Sent using Jamii Forums mobile app
lakini dada mbona ukiposti huwa haurudi tena kukomendi 😲😲POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321 DKW, Ahmedi Hemed (25), kwa tuhuma za kuchoma moto basi hilo na kusingizia kuwa moto huo ulitokana na matatizo ya mfumo wa breki.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, amesema kuwa watuhumiwa hao walikula njama ya kufanya tukio hilo baada ya mmiliki kushindwa kulipa deni la basi hilo kwa moja ya taasisi za fedha nchini linalodaiwa kufikia zaidi ya sh. milioni 200.
View attachment 1561670
Kuna msemo unasemaPOLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321 DKW, Ahmedi Hemed (25), kwa tuhuma za kuchoma moto basi hilo na kusingizia kuwa moto huo ulitokana na matatizo ya mfumo wa breki.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, amesema kuwa watuhumiwa hao walikula njama ya kufanya tukio hilo baada ya mmiliki kushindwa kulipa deni la basi hilo kwa moja ya taasisi za fedha nchini linalodaiwa kufikia zaidi ya sh. milioni 200.
View attachment 1561670
Insuarance fraudDuuuuuuu....kuna mwengine uku kwetu nae kachoma nyumba yake kukwepa deni la bank.
Angelipwa bima ya nyumba, angelipa deni lote bank na angebaki na pesa ya kujenga nyingine, nadhani hujaelewa kitu🤣 🤣 🤣 sasa anaikomoa bank ama anajikomoa mwenyewe?
Unaweza kuta liliungua kweliHapo bima wamewahi polisi na kuwapoza..
Hilo basi limepakizwa juu ya semi trailer, au macho mabovu?Hilo basi lililounguzwa, lilikuwa na mfumo gani wa matairi, triplet kama semi trailer?
Basi gani la hivyo, au ili mradi wameweka tu picha ya gari lililoungua?
Sent using Jamii Forums mobile app
ntarudi
Nilichokizungumzia siyo sehemu unayoeleza wewe ya kuweka mizigo, hiyo haina shida imekaa sawa.humo sehemu za uwazi zingine ni maboot ya kuwekea mizigo bro usijifanye kujua kila kitu
Macho mkuu, nimeshindwa kutambua jinsi picha ilivyokaakaa.Hilo basi limepakizwa juu ya semi trailer, au macho mabovu?
Vyovyote iwavyo, Ila Mimi nimefurahi kuona 25 years old anajitoa mhanga kukopa Basi la mamilion. TupambaneMiaka 25 Bado uzoefu mdogo kwenye hayo mambo plus tamaa