Achoma gari makusudi baada ya kushindwa kulipa deni la gari hilo

Kitaalamu hilo kosa linaitwa Arson yaani kuharibu mali.Hata mali yako mwenyewe ukiichoma moto au kuharibu jamhuri inakushitaki
 
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321 DKW, Ahmedi Hemed (25), kwa tuhuma za kuchoma moto basi hilo na kusingizia kuwa moto huo ulitokana na matatizo ya mfumo wa breki.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, amesema kuwa watuhumiwa hao walikula njama ya kufanya tukio hilo baada ya mmiliki kushindwa kulipa deni la basi hilo kwa moja ya taasisi za fedha nchini linalodaiwa kufikia zaidi ya sh. milioni 200.

View attachment 1561670
mimi natafakari huo umri wa miaka 25 anamiliki mali zaidi ya milion mia mbili wakati mimi nimepanga chumba kimoja na nina miaka 30"s na sijui kesho yangu ni ipi
 
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321 DKW, Ahmedi Hemed (25), kwa tuhuma za kuchoma moto basi hilo na kusingizia kuwa moto huo ulitokana na matatizo ya mfumo wa breki.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, amesema kuwa watuhumiwa hao walikula njama ya kufanya tukio hilo baada ya mmiliki kushindwa kulipa deni la basi hilo kwa moja ya taasisi za fedha nchini linalodaiwa kufikia zaidi ya sh. milioni 200.

View attachment 1561670
lakini dada mbona ukiposti huwa haurudi tena kukomendi 😲😲
 
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu akiwemo mmiliki wa basi la kampuni ya HBD lenye namba za usajili T 321 DKW, Ahmedi Hemed (25), kwa tuhuma za kuchoma moto basi hilo na kusingizia kuwa moto huo ulitokana na matatizo ya mfumo wa breki.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, amesema kuwa watuhumiwa hao walikula njama ya kufanya tukio hilo baada ya mmiliki kushindwa kulipa deni la basi hilo kwa moja ya taasisi za fedha nchini linalodaiwa kufikia zaidi ya sh. milioni 200.

View attachment 1561670
Kuna msemo unasema
"I spoke to God today and she said that she's ashamed
What have I become
What have I done
I spoke to the devil today and he swears he's not to blame
And I understood 'cause I feel the same"
[emoji23]
 
Hiyo michezo wenzake huwa wanafanya na maofisa wa fire na wa Bima, pesa ikitoka wanagawana, sasa yeye itakuwa katakankula pesa yote ya bima mwenyewe
 
Huyo mwenye hilo basi,inaonekana alikopa pesa na kwenda kula raha,sasa ataenda kuliwa jicho yeye huko jela.
 
Back
Top Bottom