baba na baba
Member
- May 31, 2024
- 27
- 33
Hivyo vitu unavyotoa kooni siyo tonsil stones kweli?Habari wakuu naombeni msaada wenu.
Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto,nahisi kukabwa na kitu kooni,natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo
Nazingatia usafi siku zote lakini hakuna nafuu nayo pata.Hivyo vitu unavyotoa kooni siyo tonsil stones kweli?
Tonsil stones husababisha harufu mbaya pia.
Lakini, kabla ya hayo mengine, usafi wako wa kinywa ukoje?
Unakisafisha kinywa chako inavyopaswa?
Tonsils sina nimetizamwa hospitalHivyo vitu unavyotoa kooni siyo tonsil stones kweli?
Tonsil stones husababisha harufu mbaya pia.
Lakini, kabla ya hayo mengine, usafi wako wa kinywa ukoje?
Unakisafisha kinywa chako inavyopaswa?
Una floss nyuma na chini ya magego yako?Nazingatia usafi siku zote lakini hakuna nafuu nayo pata.
Sijasema tonsils.Tonsils sina nimetizamwa hospital
Una uhakika siyo tonsil stones kweli? Kwani tonsil stones ni nini kwa ufahamu wako?Kwanza, pole sana kwa hali unayopitia. Acid Reflux ni ugonjwa unaoumiza sana.
Je, nini husababisha harufu mbaya ya kinywa?
1. Mdomo kuwa mkavu.
Acid reflux inapunguza sana uzalishwaji wa mate, na hivyo kusababisha hali iitwayo kisayansi xerostomia. Mate husaidia sana kusafirisha mabaki ya chakula na bakteri. Sasa ukosefu wake hupelekea mabaki ya vyakula na mate kubakia kinywani, na kuoza na kupelekea harufu mbaya kinywani.
2. Acid ya tumbo.
Tumboni kwetu tuna acid isaidiayo katika mmeng'enyo wa chakula. Acid hiyo ni HCL. Sasa acid reflux husababisha acid hiyo kurudi kwenye oesophagus na kubeba vyakula ambavyo havijameng'enywa kwa ukamilifu kuelekea kwenye koo na baadae mdomoni. Hii husababisha matonge tonge hayo kuleta harufu mbaya sana kinywani.
Ulichouliza hayo matonge tong ni chakula kilichomeng'enywa nusu. Mkuu Nyani Ngabu siyo tonsil stones.
3. Kurudi kwa Acid kunaweza kusababisha vidonda kwenye umio (oesophagus) na koo. Ile acid inachoma kuta za koo, ukichungulia unaona uwekundu. Ni vidonda. Sasa inasababisha infections ambayo huleta harufu mbaya sana kinywani.
4. Bakteria mdomoni.
Ili kupunguza hali hiyo, tafadhali zingatia sana usafi. Pia, pata matibabu. Acha unywaji wa pombe na vinywaji baridi, acha vyakula vyenye viungo vingi na kunywa maji mengi.
Ugua pole Mkuu.
Pole mkuu,Kama una GERD unaweza pata io Hali ya harufu mbaya kwa sababu unapata reflux ya undigested contents, bile na pia hizo contents zikikaa kwenye Koo ya chakula Inaweza fanya harufu mbaya,pia io acid ikizidi Inaweza weka mikwaruzo kooni ambapo unaweza kupata infection itakayosababisha kutoka harufu mbaya,jitahidi kunywa maji mengi na kutumia mouth wash izo..🤭Habari wakuu naombeni msaada wenu.
Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto,nahisi kukabwa na kitu kooni,natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo,sauti kukata nikiongea Kwa sauti ya juu,na kutoa harufu mbaya kinywa.
Naitaji kujua kama sababu ya kutoa harufu mbaya kinywani inasababishwa na acid pia?
Achana na hao madokta uchwara ambao wengi saiz wanaisingizia acid na acid haipo siriouz kiivyo mkuu,,,Niamini mimi una jipu hapo kooni nahayo unayotoa ni usaha kama sio jipu bas patakuwa na donda lenye uozo ambalo hupelekea uvimbe had koo kuzibaHabari wakuu naombeni msaada wenu.
Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto,nahisi kukabwa na kitu kooni,natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo,sauti kukata nikiongea Kwa sauti ya juu,na kutoa harufu mbaya kinywa.
Naitaji kujua kama sababu ya kutoa harufu mbaya kinywani inasababishwa na acid pia?
Asante sana mkuu umenisaidia kufahamfu kiunda sana mungu akubarikiKwanza, pole sana kwa hali unayopitia. Acid Reflux ni ugonjwa unaoumiza sana.
Je, nini husababisha harufu mbaya ya kinywa?
1. Mdomo kuwa mkavu.
Acid reflux inapunguza sana uzalishwaji wa mate, na hivyo kusababisha hali iitwayo kisayansi xerostomia. Mate husaidia sana kusafirisha mabaki ya chakula na bakteri. Sasa ukosefu wake hupelekea mabaki ya vyakula na mate kubakia kinywani, na kuoza na kupelekea harufu mbaya kinywani.
2. Acid ya tumbo.
Tumboni kwetu tuna acid isaidiayo katika mmeng'enyo wa chakula. Acid hiyo ni HCL. Sasa acid reflux husababisha acid hiyo kurudi kwenye oesophagus na kubeba vyakula ambavyo havijameng'enywa kwa ukamilifu kuelekea kwenye koo na baadae mdomoni. Hii husababisha matonge tonge hayo kuleta harufu mbaya sana kinywani.
Ulichouliza hayo matonge tong ni chakula kilichomeng'enywa nusu. Mkuu Nyani Ngabu siyo tonsil stones.
3. Kurudi kwa Acid kunaweza kusababisha vidonda kwenye umio (oesophagus) na koo. Ile acid inachoma kuta za koo, ukichungulia unaona uwekundu. Ni vidonda. Sasa inasababisha infections ambayo huleta harufu mbaya sana kinywani.
4. Bakteria mdomoni.
Ili kupunguza hali hiyo, tafadhali zingatia sana usafi. Pia, pata matibabu. Acha unywaji wa pombe na vinywaji baridi, acha vyakula vyenye viungo vingi na kunywa maji mengi.
Ugua pole Mkuu.
Asante nitafanyia kazi hiloAchana na hao madokta uchwara ambao wengi saiz wanaisingizia acid na acid haipo siriouz kiivyo mkuu,,,Niamini mimi una jipu hapo kooni nahayo unayotoa ni usaha kama sio jipu bas patakuwa na donda lenye uozo ambalo hupelekea uvimbe had koo kuziba
Asante sana mkuu🙏Pole mkuu,Kama una GERD unaweza pata io Hali ya harufu mbaya kwa sababu unapata reflux ya undigested contents, bile na pia hizo contents zikikaa kwenye Koo ya chakula Inaweza fanya harufu mbaya,pia io acid ikizidi Inaweza weka mikwaruzo kooni ambapo unaweza kupata infection itakayosababisha kutoka harufu mbaya,jitahidi kunywa maji mengi na kutumia mouth wash izo..🤭
Ameshasema anaumwa GERD.Una uhakika siyo tonsil stones kweli? Kwani tonsil stones ni nini kwa ufahamu wako?
Sawa ningeomba unambie nionane na doctor wa meno au?Sijasema tonsils.
Nimesema tonsil stones.
View attachment 3006092
View: https://youtu.be/6VIsYgH0qrU?si=GK4QcCUMySEWi1Ph
Ndio ni gred nilienda hospital nikaambiwa...ETN clinicAmeshasema anaumwa GERD.
Kwa hiyo tunachopaswa kujiulza kama ni namna gani GERD inasababisha harufu mbaya.
Vipo sababu kede zisababishazo mdomo kutoa harufu mbaya, ikiwemo madonda ya tumbo, nk.
Tonsil stones nazijua ndiyo. Nina uhakika pia kuwa si sababu inayomsababisha mhusika kuwa na mdomo unaonuka.
Wewe ni doctor wa mitishamba eti?!!!maana hata uandishi unakushinda na nyie ndiyo huwa kila kitu mnajua au mmeshawahi kutibu.Achana na hao madokta uchwara ambao wengi saiz wanaisingizia acid na acid haipo siriouz kiivyo mkuu,,,Niamini mimi una jipu hapo kooni nahayo unayotoa ni usaha kama sio jipu bas patakuwa na donda lenye uozo ambalo hupelekea uvimbe had koo kuziba
Ndiyo.Sawa ningeomba unambie nionane na doctor wa meno au?
Naomba kujua ulitumia dawa Gani mkuuPole mkuu,Kama una GERD unaweza pata io Hali ya harufu mbaya kwa sababu unapata reflux ya undigested contents, bile na pia hizo contents zikikaa kwenye Koo ya chakula Inaweza fanya harufu mbaya,pia io acid ikizidi Inaweza weka mikwaruzo kooni ambapo unaweza kupata infection itakayosababisha kutoka harufu mbaya,jitahidi kunywa maji mengi na kutumia mouth wash izo..🤭
Asante sana🙏Ndiyo.
Anza kwanza kwa mganga wa meno. Atakufanyia tathmini ya kitaalamu na kukupatia tiba/ ufumbuzi wa tatizo lako/ pendekezo la nini ufanye au wapi uende kwa msaada zaidi.