pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Enenda kwa amani, ila ubambikizaji kesi sidhani kama utaacha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PGO oyeeeeeACP Ramadhani Kingai wasalimie Kigoma, uliipenda Kinondoni ila Kinondoni haijakupenda
Na huko akiingia kichwakichwa atarudi kwao kichaa...Kapelekwa huko ili akapigwe kipapai na wazee was Ujiji
He supposed to be in jail not in public officeThe guy is very incompetent as a police officer.
Huu uhamisho umefanya Sirro aliwe kichwqACP Ramadhani Kingai wasalimie Kigoma, uliipenda Kinondoni ila Kinondoni haijakupenda
Kingai umekuja kuzodoana jukwaani? Nenda kafute shauri la sabayaunajiskiaje sasa hivi ?
Kigoma ni kigoma tu.
Unajisikiaje bhana libawacha?He supposed to be in jail not in public office
Sabaya sasa kuw la huru hivi karibuniUnajisikiaje bhana libawacha?
Sasa ni DCI, jinyonge jitundikeACP Ramadhani Kingai wasalimie Kigoma, uliipenda Kinondoni ila Kinondoni haijakupenda
Karudi kwa cheo kikubwa sana nchini. Jinyonge, jitundikeKapelekwa huko ili akapigwe kipapai na wazee was Ujiji
Pole Sana, DCI ni DCI tuKigoma ni Kigoma tu.
Mama ameupiga mwingi😀😀Sasa ni DCI, jinyonge jitundike
Unajua katoa kafara ndugu wangapi mpaka shetani kamnyooshea mambo yakeKarudi kwa cheo kikubwa sana nchini. Jinyonge, jitundike
Hilo unalijua wewe. Now ni DCIUnajua katoa kafara ndugu wangapi mpaka shetani kamnyooshea mambo yake