ACT = Agizo la Chama Tawala. Hiyo ndiyo kirefu cha ACT Wazendo kwa mujibu wa Polepole

Mikael Aweda

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
3,129
Reaction score
4,285
Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.

Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na wafadhili wa CHAUMMA.

Nawatakia siku njema mkijua kuwa yajayo yanafurahisha.
 
siku ukijua na Vyama vingine ni CCM iliyojificha ndugu mwananchi utabaki kushangaa..
 
Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.

Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na wafadhili wa CHAUMMA.

Nawatakia siku njema mkijua kuwa yajayo yanafurahisha.
Polepole = debe tupu. Wahenga walisema "debe tupu haliwachi kutikatika.
 
Mimi nahisi CHADEMA nayo kilikiwa chama cha CCM, aliyekuwa analijua hili alikuwa ni Mbowe pekeyake na wana mtandao. Baada ya kushindwa uenyekiti ndo CHADEMA kikawa chama cha upinzani.

yaani kifupi vyama vingi tumeanza mwaka huu baada ya Lissu kuwapokonya CCM chama chao sio 1992 kama tulivyodanganywa.
 
Kind of agree with you. Kuna mazingira yanayothibitisha hilo
 
Daah! Yaani mwamba mpk alitungiwa wimbo usemao "mwamba tuvushe". Kumbe ni tapeli na laghai linalotumia chama kama saccos. Nchi ngumu sana hii.

Mara paap! Inakuja kujulikana kuwa hata Polepole naye katumwa na ccm!!
Nakataa pole pole kutumwa na CCM kwa sababu demadge anayofanya kwa ccm ni dangerous. Anapasua mashono yasiyoshoneka
 
Umenikumbusha mbali sana
 
Nakataa pole pole kutumwa na CCM kwa sababu demadge anayofanya kwa ccm ni dangerous. Anapasua mashono yasiyoshoneka
Ni kweli nasi tunajua kwamba yeye alikuwa ni sehemu muhimu kwa yote yaliyotokea wakati huo na sasa.
 
Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.

Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na wafadhili wa CHAUMMA.

Nawatakia siku njema mkijua kuwa yajayo yanafurahisha.
Hilo linafahamika, mmiliki wa ACT ni Juma Kaseja (JK)
 
Back
Top Bottom