ACT = Agizo la Chama Tawala. Hiyo ndiyo kirefu cha ACT Wazendo kwa mujibu wa Polepole

Mimi nahisi CHADEMA nayo kilikiwa chama cha CCM, aliyekuwa analijua hili alikuwa ni Mbowe pekeyake na wana mtandao. Baada ya kushindwa uenyekiti ndo CHADEMA kikawa chama cha upinzani.

yaani kifupi vyama vingi tumeanza mwaka huu baada ya Lissu kuwapokonya CCM chama chao sio 1992 kama tulivyodanganywa.
Kabisa, mfumo wa vyama vingi umeanza mwaka huu.
 
Aweda umeshuka kiwango cha kutisha, have you drifted this low?!
 
Mimi nahisi CHADEMA nayo kilikiwa chama cha CCM, aliyekuwa analijua hili alikuwa ni Mbowe pekeyake na wana mtandao. Baada ya kushindwa uenyekiti ndo CHADEMA kikawa chama cha upinzani.

yaani kifupi vyama vingi tumeanza mwaka huu baada ya Lissu kuwapokonya CCM chama chao sio 1992 kama tulivyodanganywa.
Huo ndo ukweli Ogera kwa akili kua huru
 
Daah! Yaani mwamba mpk alitungiwa wimbo usemao "mwamba tuvushe". Kumbe ni tapeli na laghai linalotumia chama kama saccos. Nchi ngumu sana hii.

Mara paap! Inakuja kujulikana kuwa hata Polepole naye katumwa na ccm!!
Alikua anawavushia chaumma tapeli yule muangalie macho yake siku ile yuko mwanza alikua amelewa 😂😂
 
Daah! Yaani mwamba mpk alitungiwa wimbo usemao "mwamba tuvushe". Kumbe ni tapeli na laghai linalotumia chama kama saccos. Nchi ngumu sana hii.

Mara paap! Inakuja kujulikana kuwa hata Polepole naye katumwa na ccm!!
🤣🤣🤣😂😂😂 Dj Ayatollah Mbowe Snitch Ile Mbaya yule Mchaga
 
Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.

Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na wafadhili wa CHAUMMA.

Nawatakia siku njema mkijua kuwa yajayo yanafurahisha.
Hahahaha wafuasi wa Chadema sasa hivi waemshikiwa akili na Polepole inafurahisha sana😂
 
Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.

Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na wafadhili wa CHAUMMA.

Nawatakia siku njema mkijua kuwa yajayo yanafurahisha.
Pole pole kasema ukweli mchungu, Kila mwaka wa uchaguzi ACT inachukua mgombea Toka ccm, mwaka 2020 ilichukua membe, baada ya kazi maalumu akarudi ccm, mwaka huu mpina, baada ya kazi maalumu atarudi ccm
 
Daah! Yaani mwamba mpk alitungiwa wimbo usemao "mwamba tuvushe". Kumbe ni tapeli na laghai linalotumia chama kama saccos. Nchi ngumu sana hii.

Mara paap! Inakuja kujulikana kuwa hata Polepole naye katumwa na ccm!!
Haahaa mwamba alikuwa anapigania demokrasia, baada ya kushindwa uchaguzi kavuruga taasisi yake mwenyewe
 
polepole ndio anashikilia akili za wafuasi wa Chadema kwa sasa
 
Back
Top Bottom