Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
siku ukijua na Vyama vingine ni CCM iliyojificha ndugu mwananchi utabaki kushangaa..Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.
Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na wafadhili wa CHAUMMA.
Nawatakia siku njema mkijua kuwa yajayo yanafurahisha.
Polepole = debe tupu. Wahenga walisema "debe tupu haliwachi kutikatika.Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.
Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na wafadhili wa CHAUMMA.
Nawatakia siku njema mkijua kuwa yajayo yanafurahisha.
Lakini kwa hapo kasema kweliPolepole = debe tupu. Wahenga walisema "debe tupu haliwachi kutikatika.
Hakuna asiyejua. Tabu ya CCM ni Chadema ya Leo tusiku ukijua na Vyama vingine ni CCM iliyojificha ndugu mwananchi utabaki kushangaa..
Daah! Yaani mwamba mpk alitungiwa wimbo usemao "mwamba tuvushe". Kumbe ni tapeli na laghai linalotumia chama kama saccos. Nchi ngumu sana hii.Yote kwa yote Mwamba kiboko yao miaka 20 anavuta CCM na Chadema
Kind of agree with you. Kuna mazingira yanayothibitisha hiloMimi nahisi CHADEMA nayo kilikiwa chama cha CCM, aliyekuwa analijua hili alikuwa ni Mbowe pekeyake na wana mtandao. Baada ya kushindwa uenyekiti ndo CHADEMA kikawa chama cha upinzani.
yaani kifupi vyama vingi tumeanza mwaka huu baada ya Lissu kuwapokonya CCM chama chao sio 1992 kama tulivyodanganywa.
Nakataa pole pole kutumwa na CCM kwa sababu demadge anayofanya kwa ccm ni dangerous. Anapasua mashono yasiyoshonekaDaah! Yaani mwamba mpk alitungiwa wimbo usemao "mwamba tuvushe". Kumbe ni tapeli na laghai linalotumia chama kama saccos. Nchi ngumu sana hii.
Mara paap! Inakuja kujulikana kuwa hata Polepole naye katumwa na ccm!!
Umenikumbusha mbali sanaDaah! Yaani mwamba mpk alitungiwa wimbo usemao "mwamba tuvushe". Kumbe ni tapeli na laghai linalotumia chama kama saccos. Nchi ngumu sana hii.
Mara paap! Inakuja kujulikana kuwa hata Polepole naye katumwa na ccm!!
Yap
Ni kweli na ukweli unabakia palepale.Lakini kwa hapo kasema kweli
Ni kweli nasi tunajua kwamba yeye alikuwa ni sehemu muhimu kwa yote yaliyotokea wakati huo na sasa.Nakataa pole pole kutumwa na CCM kwa sababu demadge anayofanya kwa ccm ni dangerous. Anapasua mashono yasiyoshoneka
Debe tupu haliwachi kuvuma.Polepole = debe tupu. Wahenga walisema "debe tupu haliwachi kutikatika.
Hilo linafahamika, mmiliki wa ACT ni Juma Kaseja (JK)Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.
Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na wafadhili wa CHAUMMA.
Nawatakia siku njema mkijua kuwa yajayo yanafurahisha.