Kabisa, mfumo wa vyama vingi umeanza mwaka huu.Mimi nahisi CHADEMA nayo kilikiwa chama cha CCM, aliyekuwa analijua hili alikuwa ni Mbowe pekeyake na wana mtandao. Baada ya kushindwa uenyekiti ndo CHADEMA kikawa chama cha upinzani.
yaani kifupi vyama vingi tumeanza mwaka huu baada ya Lissu kuwapokonya CCM chama chao sio 1992 kama tulivyodanganywa.
Hayo yamepita, kwasasa amesimama upande wa haki, tunamuunga mkonoNi kweli nasi tunajua kwamba yeye alikuwa ni sehemu muhimu kwa yote yaliyotokea wakati huo na sasa.
Nimeshuka kwa asilimia ngapi? Kutoka ngapi kwenda ngapi????Aweda umeshuka kiwango cha kutisha, have you drifted this low?!
Huo ndo ukweli Ogera kwa akili kua huruMimi nahisi CHADEMA nayo kilikiwa chama cha CCM, aliyekuwa analijua hili alikuwa ni Mbowe pekeyake na wana mtandao. Baada ya kushindwa uenyekiti ndo CHADEMA kikawa chama cha upinzani.
yaani kifupi vyama vingi tumeanza mwaka huu baada ya Lissu kuwapokonya CCM chama chao sio 1992 kama tulivyodanganywa.
Alikua anawavushia chaumma tapeli yule muangalie macho yake siku ile yuko mwanza alikua amelewa ππDaah! Yaani mwamba mpk alitungiwa wimbo usemao "mwamba tuvushe". Kumbe ni tapeli na laghai linalotumia chama kama saccos. Nchi ngumu sana hii.
Mara paap! Inakuja kujulikana kuwa hata Polepole naye katumwa na ccm!!
π€£π€£π€£πππ Dj Ayatollah Mbowe Snitch Ile Mbaya yule MchagaDaah! Yaani mwamba mpk alitungiwa wimbo usemao "mwamba tuvushe". Kumbe ni tapeli na laghai linalotumia chama kama saccos. Nchi ngumu sana hii.
Mara paap! Inakuja kujulikana kuwa hata Polepole naye katumwa na ccm!!
Kwa vile yamepita? Historia huwa haifutiki.Hayo yamepita, kwasasa amesimama upande wa haki, tunamuunga mkono
Hahahaha wafuasi wa Chadema sasa hivi waemshikiwa akili na Polepole inafurahisha sanaπSijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.
Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na wafadhili wa CHAUMMA.
Nawatakia siku njema mkijua kuwa yajayo yanafurahisha.
Pole pole kasema ukweli mchungu, Kila mwaka wa uchaguzi ACT inachukua mgombea Toka ccm, mwaka 2020 ilichukua membe, baada ya kazi maalumu akarudi ccm, mwaka huu mpina, baada ya kazi maalumu atarudi ccmSijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.
Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na wafadhili wa CHAUMMA.
Nawatakia siku njema mkijua kuwa yajayo yanafurahisha.
Haahaa mwamba alikuwa anapigania demokrasia, baada ya kushindwa uchaguzi kavuruga taasisi yake mwenyeweDaah! Yaani mwamba mpk alitungiwa wimbo usemao "mwamba tuvushe". Kumbe ni tapeli na laghai linalotumia chama kama saccos. Nchi ngumu sana hii.
Mara paap! Inakuja kujulikana kuwa hata Polepole naye katumwa na ccm!!