Mwenyewe nimetoka mzima, nadhani huyu atakuwa ni UWTSijui umeandika nini
Sijui umeandika nini
Kama Mpina ndiye katamka hivyo,itakua hajawasiliana na KIONGOZI MKUU MSTAAFU,maana ZZK hawezi eti akakubali ACT isishiriki uchaguzi,ataishije sasa?
Kuna wanaosema Mpina alizuiwa kwa sababu alikuwa na mpango wa kumwekea Samia pingamizi, hivyo wakasubiri mpaka muda wa mapingamizi uishe na sasa watamrudisha bila masharti yoyote.Kunaanza kuchangamka. Kwamba?
View attachment 3456412
Mkikaza hii mbona leo tu mtapigiwa simu na Tena na kigogo yule mwenyewe kuwasilisha forms zenu mapema kesho asubuhi na kulikwaa ndinga lenu pendwa la kampeni tena kwa raha zenu?
Huu unaweza kuwa wakati mzuri zaidi kwenu kutoa somo kwa vitendo na hasa kwa zile nafsi njoga njoga za kwetu zinazotegemea haki kwenye kisahani cha fwedha?
Shime shime shamba darasa hilo, kwa wote waliopokwa vyao!
Umeme wa buku umekutana na fridge bovu
Kuna wanaosema Mpina alizuiwa kwa sababu alikuwa na mpango wa kumwekea Samia pingamizi, hivyo wakasubiri mpaka muda wa mapingamizi uishe na sasa watamrudisha bila masharti yoyote.
Fikiri kabla ya kutenda, sio kila mmoja anaweza kufanya unayo semaMada zenye uelekeo vya watu kujipatia vyao zajulikana kuwavutia sana waja leo waondoka leo:
Hatimaye ana kwa ana na wapiga doria mitandaoni. Yapigwaje hiyo? Au ni hawa ndugu zetu wenye ID ishirini ishirini?
Kwani nawe mmoja wao?
Fikiri kabla ya kutenda, sio kila mmoja anaweza kufanya unayo sema
Kuna wanaosema Mpina alizuiwa kwa sababu alikuwa na mpango wa kumwekea Samia pingamizi, hivyo wakasubiri mpaka muda wa mapingamizi uishe na sasa watamrudisha bila masharti yoyote.
Ndiyo maana nikasema walichokuwa hawataki kitokee kimeshapita, watamrudisha. Hakuwa ameondolewa moja kwa moja. Wanajua hana madhara.Wauona mwendelezo huu?
View attachment 3456502
Awaye yote aweza kusema atakavyo, ila msingi wa hoja, chake mtu haombi!
Kama si staged basi rungu nyuma ndiyo siri nzima ya mafanikio.
Hata sisi ingekuwa steadfast mboni Simba anangekuwa ana vinjari kwa raha zake?
Haipo ngoma bila ultimatum tena thabiti kweli kweli.
Zawadini kwa utambizi.
Ndiyo maana nikasema walichokuwa hawataki kitokee kimeshapita, watamrudisha. Hakuwa ameondolewa moja kwa moja. Wanajua hana madhara.
CCM* kamwe hawatakubali hasa kwenye huu uchaguzi, kufanya marekebisho. Wanajua pasi na shaka kuwa Samia anachukiwa mno mno hivyo hawawezi kucheza na moto. Halafu sasa: kuna ufisadi na madhambi mengi kweli kweli kiasi ambacho kamwe hawakubali mtu asiye kwenye circle yao aingie. (CCM* = sasa hivi ni mtandao unaoongozwa na JK, na wako macho CCM asiye kwenye huo mtandao asije shika urais. Ila 2030 panapo uzima kuna kazi kubwa sana)Hayo ni maoni yako ila ukweli ni kuwa na rungu nyuma TAL angekuwa nje, reforms zingefanyika na uchaguzi ingekuwa huru na wa haki.
Ninakazia:
Chake mtu, haombi!
Kule kwetu huwa tunasema "ngoma ya kitoto haikeshi". Ila niseme tu "kuishi kwingi ni kuona mengi".Wauona mwendelezo huu?
View attachment 3456502
Awaye yote aweza kusema atakavyo, ila msingi wa hoja, chake mtu haombi!
Kama si staged basi rungu nyuma ndiyo siri nzima ya mafanikio.
Hata sisi ingekuwa steadfast mboni Simba anangekuwa ana vinjari kwa raha zake?
Haipo ngoma bila ultimatum tena thabiti kweli kweli.
Zawadini kwa utambuzi.
Kule kwetu huwa tunasema "ngoma ya kitoto haikeshi". Ila niseme tu "kuishi kwingi ni kuona mengi".
Sijakuelewa