Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 3,051
- 2,269
Mkuu humu JF kuna watabiri wengi! Sitaki kutabiri ila haya yanaweza kutokea, si kwasababu ya utabiri, kwa sababu ni kanuni ya kimaumbile.Funguka zaidi mkuu, unadhani huu ni mchezo tu? Je Mpina atarejeshwa na mahakama? Mahakama ikidinda, rungu hili la wazalendo waliona je?
Binafsi sijapata kumuona Mpina kama agent katika hili. Kuna mambo yametokea hakukubaliana nayo akaamua kusepa; ila kama walivyo wengine, huko nako wakimzingua atasepa. Ndo wanasiasa.