Mkuu humu JF kuna watabiri wengi! Sitaki kutabiri ila haya yanaweza kutokea, si kwasababu ya utabiri, kwa sababu ni kanuni ya kimaumbile.Funguka zaidi mkuu, unadhani huu ni mchezo tu? Je Mpina atarejeshwa na mahakama? Mahakama ikidinda, rungu hili la wazalendo waliona je?
Mkuu humu JF kuna watabiri wengi! Sitaki kutabiri ila haya yanaweza kutokea, si kwasababu ya utabiri, kwa sababu ni kanuni ya kimaumbile.
Binafsi sijapata kumuona Mpina kama agent katika hili. Kuna mambo yametokea hakukubaliana nayo akaamua kusepa; ila kama walivyo wengine, huko nako wakimzingua atasepa. Ndo wanasiasa.

Kamaanisha hivi: ...'msipobadili msimamo na dhamira zenu za kudai haki, lazima haki hiyo mtaipata tu'.Mwenyewe nimetoka mzima, nadhani huyu atakuwa ni UWT
Hapana mkuu. Nimesema yanaweza kutokea haya ya Mpina kurudishwa kuwa mgombea, lakini si kwasababu yeye katumwa na CCM bali kwasababu yeye ndo Mpina aliyechukizwa na yaliyomkuta huko.Kwa hiyo mkuu una maana Mpina anajulikana kuwa ni wa kuja na kauli hii kutokea na rungu nyuma ni yake binafsi wala si ya ACT?
Sikukusudia kusema kwa matokeo ya mahakamani ACT wanaweza watamtema. Nimekusudia kusema kwamba hata ACT wakimzingua kwa kufanya maamuzi yanayoweza kumkera, kama ilivyotokea kule CCM, nako atasepa. Sasa sijui; anaweza ama kurudi CCM au kutimkia kwingine. Kwenye hili, rejea ya Mrema na Lowasa. Dunia hii kila tukio lina mahali linaweza kufanyiwa rejea.Kwamba yakimchachia mahakamani ACT watamtema tu kama big G?
Dalali kashamuuza Mpina kama alivyofanya kwa MembeKama Mpina ndiye katamka hivyo,itakua hajawasiliana na KIONGOZI MKUU MSTAAFU,maana ZZK hawezi eti akakubali ACT isishiriki uchaguzi,ataishije sasa?
Basi sawaKamaanisha hivi: ...'msipobadili msimamo na dhamira zenu za kudai haki, lazima haki hiyo mtaipata tu'.
'Mmesema wakiendelea na nsimamo wa kuwaengua hamtashiriki uchaguzi, safi sana, kazieni msimamo huo huo'.
'Wakiona mna msimamo usioyumba, ni mapema tu watalegeza masharti na kuruhusu mgombea wenu kushiriki'.
'Shime kwenu kuweza kutuwakilisha nasi wanyonge tusiokuwa na uwezo wa kupambania haki zetu'....
Nimejaribu kuchambua alichomaanisha.
Kamaanisha hivi: ...'msipobadili msimamo na dhamira zenu za kudai haki, lazima haki hiyo mtaipata tu'.
'Mmesema wakiendelea na msimamo wa kuwaengua hamtashiriki uchaguzi, safi sana, kazieni msimamo huo huo'.
'Wakiona mna msimamo usioyumba, ni mapema tu watalegeza masharti na kuruhusu mgombea wenu kushiriki'.
'Shime kwenu kuweza kutuwakilisha nasi wanyonge tusiokuwa na uwezo wa kupambania haki zetu'....
Nimejaribu kuchambua alichomaanisha.
Hapana mkuu. Nimesema yanaweza kutokea haya ya Mpina kurudishwa kuwa mgombea, lakini si kwasababu yeye katumwa na CCM bali kwasababu yeye ndo Mpina aliyechukizwa na yaliyomkuta huko.
Sikukusudia kusema kwa matokeo ya mahakamani ACT wanaweza watamtema. Nimekusudia kusema kwamba hata ACT wakimzingua kwa kufanya maamuzi yanayoweza kumkera, kama ilivyotokea kule CCM, nako atasepa. Sasa sijui; anaweza ama kurudi CCM au kutimkia kwingine. Kwenye hili, rejea ya Mrema na Lowasa. Dunia hii kila tukio lina mahali linaweza kufanyiwa rejea.
Mkuu kwa ninavyowajua wanasiasa na kutaka kwao madaraka, sitarajii Mpina kubakia ACT ikitokea hivyo. Kumbuka kilichomuondoa CCM ni kukoseshwa ubunge.Hata hivyo ni hoja yangu kuwa kama ni msimamo was ACT kuwa hawashiriki uchaguzi bila Mpina kwenye sanduku, atakuwapo lije jua au ije mvua.
Mkuu kwa ninavyowajua wanasiasa na kutaka kwao madaraka, sitarajii Mpina kubakia ACT ikitokea hivyo. Kumbuka kilichomuondoa CCM ni kukoseshwa ubunge.
Hili zombie linaota? Amebwabwaja kt ganiKunaanza kuchangamka. Kwamba?
View attachment 3456412
Mkikaza hii mbona leo tu mtapigiwa simu? Tena na chigogo yule mwenyewe kabisa, ili kama vipi kuwasilisha forms zenu mapema kesho asubuhi na kulikwaa ndinga pendwa la kampeni, kwa raha zenu?
Huu unaweza kuwa wakati mzuri zaidi kwenu kutoa somo kwa vitendo na hasa kwa zile nafsi njoga njoga kama zile za kwetu, zinazotegemea haki kwenye visahani vya fwedha?
Shime shime waungwana, shamba darasa hilo, kwa wote waliopokwa vyao!
Nadhani wanamaanisha haswa. Kumbuka huko kuna OMO ambaye kimsimamo yuko vizuri, ila hii ni siasa na kwenye siasa kila kitu kinawezekana.Hoja ya msingi, je ACT kama chama wadhani kutasimama na Mpina kindaki ndaki kama hivi?
Nadhani wanamaanisha haswa. Kumbuka huko kuna OMO ambaye kimsimamo yuko vizuri, ila hii ni siasa na kwenye siasa kila kitu kinawezekana.
Hili zombie linaota? Amebwabwaja kt gani
Hujaeleweka kabisa huenda mtoto wako kakuibia simu yakoKunaanza kuchangamka. Kwamba?