GE2025 ACT mmeshindwa hata kuvunga kuwa nyie sio CCM B? Eti Mpina kama mgombea Urais! Watu sio wajinga bana!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Kulingana Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa;

"Vyama vinavyopata ruzuku ni vile vilivyopata angalau asilimia tano ya kura zote halali zilizopigwa katika Uchaguzi Mkuu na vyama vyenye Wabunge au Madiwani. Kigezo kinachotumika ili chama kiweze kupata ruzuku ni kuangalia matokeo ya uchaguzi kuona kama chama kimepata asilimia tano ya kura au kama chama kimeshinda nafasi za ubunge au udiwani, kama ilivyoainishwa katika kifungu cha 16 cha Sheria ya Vyama vya Siasa, namba 5 ya mwaka 1992."

Mpina ulikuwa mtu wa maana sana na Kisesa walikuwa wanakuheshimu kwelikweli, mwisho umekuja kutuonesha wewe naye huna maana, ni wapuuzi kama wapuuzi wengine unaochangia kuwakandamiza Watanzania. Umetuonesha yale yote ulikuwa unafanya yalikuwa maigizo tu, huna tofauti yote na vijani wengine waliooza.

CHADEMA imetetemesha CCM, imewafanya waumwe kichwa, wananchi wameamka na hawataki ujinga, comments mtandaoni na mijadala mitaani inathibitisha hilo, ili watoboe ilibidi watafute kuungwa mkono ili kuonesha upinzani umeshiriki ilhali wanamuengua mpinzani wao mkubwa CHADEMA.

Lengo la kumpeleka Mpina kuhamia ACT Wazalendo inamaana ataongeza amsha amsha kule ACT Wazalendo, ukijumlisha na CHAUMMA tayari watakuwa na nguvu ya kusema wapinzani walishiriki uchaguzi, na hapa kuna mawili;

1. Utokee wizi wa maana yaani ile ya 2020 kuwa cha mtoto, halafu asilimia za kura zigawanywe hivi:

Mpina na CCM B, ACT wakipewa 3.4%
Mbowe aaah ni Ubwabwa - CHAUMMA wakapewa 4.5% au .7

Halafu wengine wakagawana wagawane 2% au 3%

Kubwa la maadui mama anatosha ametufikisha hapa wakalamba 90% au zaidi

Kwenye hii ni kuwa watapiga umafia wa kutisha kiasi cha kuwanyima na ruzuku kabisa:LaughHard: (nacheka ka mazuri) na hakutakuwa na rorote la kuwafanya sababu uhalali tayari wanao, wapinzani wameshiriki lakini watanzania wameelewa show ya mama mpaka wamebubujikwa na machozi ya Lucas Mwashambwa, tukapeta na 100% chama kimoja

2. Watoe 5% kwa chama kimoja wapo either CCM B au C, afu wapili apate 3% wale 14 watagawana 2%, teminator apate 90% au zaidi wakiminya sana, mchezo umeisha.

Hapa wataonesha kuna chama kingine cha upinzani kimeibuka baada ya CHADEMA kufa, na kwakuwa ndio kwanza kimeanza kupata wafuasi ndio wamejitahidi kufikia hiyo asilimia 5%, demokrasia imezidi kuimarika nchini Tanzania:KEKWlaugh::BearLaugh::BearLaugh:

Ni kwanini 90% katika option zote mbili? Hapo lazima wazipiku kura za Magu, kuonesha kuwa Mama (kama ataendelea kuwa mgombea baada ya mpasuko kuendelea kutokea) amekubalika kuzidi Magu, yaani watanzania wamempenda mpaka wamempenda zaidi:PepeLaugh::luffyLaugh:.

Mpina ungekuwa na nia njema na Watanzania na kweli ulikuwa unataka kuleta mageuzi kwenye siasa, ungeenda kugombea ubunge, maana wewe na sisi tunajua huna ubavu wa kugombea Urais, yaani huna hiyo Pawa ya sasa kutoshea kwenye kile kiti, sasa hata baada ya kujua yote hayo kwanini ushift na kwenda moja kwa moja kutaka Urasi na ACT Wazalendo wakukubali chaap bila upinzani, halafu Watanzania tuamini kwamba hiyo siyo sinema?

Na mlivyokuwa wajinga mkampokea na shushushu mwingine siku hiyo hiyo kwenye chama, aloooo sisi siyo wajingwa bwana:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Endeleeni na sinema ila Watanzania wa leo sio wa jana!
 
Hii umenikumbusha riwaya ya NGUGI WA THIONG'O

WEEP NOT, CHILD.

🤔😔
 
Moja ya kitu ambacho vyama vya upinzan wabashindwa ni kusoma nyakati
Act kwa Mpina wamepiga hesabu za kijinga na za kipumbavu sana na hii imedhihirisha kuwa wale ni ccm B
 
UMEONGEA POINTI KIASI, ILA HAPA NDIO ULIPOANZA KUHARISHA;
"CHADEMA imetetemesha CCM, imewafanya waumwe kichwa, wananchi wameamka na hawataki ujinga, comments mtandaoni na mijadala mitaani inathibitisha hilo, ili watoboe ilibidi watafute kuungwa mkono ili kuonesha upinzani umeshiriki ilhali wanamuengua mpinzani wao mkubwa CHADEMA"
 
Itoshe kusema vyama vyote vya upinzani ni matawi ya CCM kwa nyakati tofauti tofauti. Yaani CCM ni kama mwanaume mwenye wake wengi, leo anaamua alale na CUF, kesho analala na CHADEMA, keshokutwa anamlalia ACT na mwingine na mwingine ili mradi kila mmoja alale naye.
 
Hizo kura za kutengeneza hizo asilimia ni kura za wanaccm, wana ACT, wana CHAUMA na wapuuzi wengine watakaojitokeza kupiga kura. Idadi kubwa ya watanzania hawatajitokeza kupiga kura kutokana hali ya kisiasa ilivyo nchini si ya kidemokrasia. Labda viongozi wa dini wajitokeze kuhamasisha waumini wao kupiga kura. By the way wenye akili kubwa hawataenda kupiga kura licha ya kuwa na vitambulisho vya kupiga kura. Kutokushiriki kwa CHADEMA kutapunguza idadi ya wapiga kura uchaguzi huu
 
Kulingana Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa;

"Vyama vinavyopata ruzuku ni vile vilivyopata angalau asilimia tano ya kura zote halali zilizopigwa katika Uchaguzi Mkuu na vyama vyenye Wabunge au Madiwani. Kigezo kinachotumika ili chama kiweze kupata ruzuku ni kuangalia matokeo ya uchaguzi kuona kama chama kimepata asilimia tano ya kura au kama chama kimeshinda nafasi za ubunge au udiwani, kama ilivyoainishwa katika kifungu cha 16 cha Sheria ya Vyama vya Siasa, namba 5 ya mwaka 1992."

Mpina ulikuwa mtu wa maana sana na Kisesa walikuwa wanakuheshimu kwelikweli, mwisho umekuja kutuonesha wewe naye huna maana, ni wapuuzi kama wapuuzi wengine unaochangia kuwakandamiza Watanzania. Umetuonesha yale yote ulikuwa unafanya yalikuwa maigizo tu, huna tofauti yote na vijani wengine waliooza.

CHADEMA imetetemesha CCM, imewafanya waumwe kichwa, wananchi wameamka na hawataki ujinga, comments mtandaoni na mijadala mitaani inathibitisha hilo, ili watoboe ilibidi watafute kuungwa mkono ili kuonesha upinzani umeshiriki ilhali wanamuengua mpinzani wao mkubwa CHADEMA.

Lengo la kumpeleka Mpina kuhamia ACT Wazalendo inamaana ataongeza amsha amsha kule ACT Wazalendo, ukijumlisha na CHAUMMA tayari watakuwa na nguvu ya kusema wapinzani walishiriki uchaguzi, na hapa kuna mawili;

1. Utokee wizi wa maana yaani ile ya 2020 kuwa cha mtoto, halafu asilimia za kura zigawanywe hivi

Mpina na CCM B, ACT wakipewa 3.4%
Mbowe aaah ni Ubwabwa - CHAUMMA wakapewa 4.5% au .7
Halafu wengine wakagawana wagawane 2% au 3%
Kubwa la maadui mama anatosha ametufikisha hapa wakalama 90% au zaidi

Kwenye hii ni kuwa watapiga umafia wa kutisha kiasi cha kuwanyima na ruzuku kabisa:LaughHard: (nacheka ka mazuri) na hakutakuwa na rorote la kuwafanya sababu uhalali tayari wanao, wapinzani wameshiriki lakini watanzania wameelewa show ya mama mpaka wamebubujikwa na machozi ya Lucas Mwashambwa, tukapeta na 100% chama kimoja

2. Watoe 5% kwa chama kimoja wapo either CCM B au C, afu wapili apate 3% wale 14 watagawana 2%, teminator apate 90% au zaidi wakiminya sana, mchezo umeisha.
Hapa wataonesha kuna chama kingine cha upinzani kimeibuka baada ya CHADEMA kufa, na kwakuwa ndio kwanza kimeanza kupata wafuasi ndio wamejitahidi kufikia hiyo asilimia 5%, demokrasia imezidi kuimarika nchini Tanzania:KEKWlaugh::BearLaugh::BearLaugh:

Ni kwanini 90% katika option zote mbili? Hapo lazima wazipiku kura za Magu, kuonesha kuwa Mama (kama ataendelea kuwa mgombea baada ya mpasuko kuendelea kutokea) amekubalika kuzidi Magu, yaani watanzania wamempenda mpaka wamempenda zaidi:PepeLaugh::luffyLaugh:.

Mpina ungekuwa na nia njema na Watanzania na kweli ulikuwa unataka kuleta mageuzi kwenye siasa, ungeenda kugombea ubunge, maana wewe na sisi tunajua huna ubavu wa kugombea Urais, yaani huna hiyo Pawa ya sasa kutoshea kwenye kile kiti, sasa hata baada ya kujua yote hayo kwanini ushift na kwenda moja kwa moja kutaka Urasi na ACT Wazalendo wakukubali chaap bila upinzani, halafu Watanzania tuamini kwamba hiyo siyo sinema?

Na mlivyokuwa wajinga mkampokea na shushushu mwingine siku hiyo hiyo kwenye chama, aloooo sisi siyo wajingwa bwana:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Endeleeni na sinema ila Watanzania wa leo sio wa jana!
Akili kubwa hongera
 
Act walichofanya ni sawa na kujikuna mkund**ni na kunusa puani huuu ni utoto hata km zoezi hilo unalifanya chumbani peke yako tukiwa hatukuoni
 
Kwani nyie ilikuwaje kwa Lowasa, kwa Dr slaa. Siku zote CCM ndo chimbuko la viongozi waadilifu na wenye uwezo
 
Samahan mkuu je lowasa alipokuja chadema .
Chadema nayo ilikua ccm B
 
Act walichofanya ni sawa na kujikuna mkund**ni na kunusa puani huuu ni utoto hata km zoezi hilo unalifanya chumbani peke yako tukiwa hatukuoni
Na nyie mlifanya ivo 🤣mlivo vilaza mmesahau wenzenu wakifanya mnaona Gere..
 
Hizo kura za kutengeneza hizo asilimia ni kura za wanaccm, wana ACT, wana CHAUMA na wapuuzi wengine watakaojitokeza kupiga kura. Idadi kubwa ya watanzania hawatajitokeza kupiga kura kutokana hali ya kisiasa ilivyo nchini si ya kidemokrasia. Labda viongozi wa dini wajitokeze kuhamasisha waumini wao kupiga kura. By the way wenye akili kubwa hawataenda kupiga kura licha ya kuwa na vitambulisho vya kupiga kura. Kutokushiriki kwa CHADEMA kutapunguza idadi ya wapiga kura uchaguzi huu
We ndio msemaji wa watanzania wote.peleka ujinga uko kura tutapiga tena Kwa wingi .alaf mataira kama ww mtabaki kulalamika mtaan kua ccm aijashinda kihalali wakat mmehamasishana wenyewe kutopiga kura
 
Izo sarakasi za mgombea wa urais upinzani kitokea ccm zinafanyika bongo tu miaka nenda rudi yaaan 😀😀 mbona Zanzibar hazifanyiki?

Na ukiangalia mienendo ya ACT Zanzibar na bara ni vitu 2 tofauti mambo mingi ya kipuuzi ya ACT yanafanyika kwa upande wa bara
 
Na nyie mlifanya ivo 🤣mlivo vilaza mmesahau wenzenu wakifanya mnaona Gere..
Na simamia leo inshu ya act otherwise uwe una andiko langu la kupongeza kwa kile kilichofanyika kipindi kile
Na ww ni sisiemu mtandao?
 
Samahan mkuu je lowasa alipokuja chadema .
Chadema nayo ilikua ccm B
Kwani ulikuwa unaonaje?🌚🌚 Japokuwa context ilikuwa tofauti kidogo, Lowassa ilikuwa ubaya ubwela, akasepa na kijiji, wengine wakaleftishwa in peace na Sir God, wengine wakafukuzwa chama, wengine wakaonywa, na kijiji chake ndio kilisaidia kuioa kura nyingi CHADEMA.... Mwisho wa siku naye alirudi kwenye kijani, kwani alienda burebure kule na chaaap kukubalika kuwa mgombea urais?

Sasa kwa Mpina, imekuwa too obvious, mwenyewe mwenyewe huyooo, afu urais moja kwa moja, afu akafuatwa na Kamishna Mstaafu... aweeeee, hata bila D2 unaelewa
 
Back
Top Bottom