Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Ni weep sio weapHii umenikumbusha riwaya ya NGUGI WA THIONG'O
WEAP NOT, CHILD.
🤔😔
Sawa mkuu narekebisha 😊Ni weep sio weap
Akili kubwa hongeraKulingana Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa;
"Vyama vinavyopata ruzuku ni vile vilivyopata angalau asilimia tano ya kura zote halali zilizopigwa katika Uchaguzi Mkuu na vyama vyenye Wabunge au Madiwani. Kigezo kinachotumika ili chama kiweze kupata ruzuku ni kuangalia matokeo ya uchaguzi kuona kama chama kimepata asilimia tano ya kura au kama chama kimeshinda nafasi za ubunge au udiwani, kama ilivyoainishwa katika kifungu cha 16 cha Sheria ya Vyama vya Siasa, namba 5 ya mwaka 1992."
Mpina ulikuwa mtu wa maana sana na Kisesa walikuwa wanakuheshimu kwelikweli, mwisho umekuja kutuonesha wewe naye huna maana, ni wapuuzi kama wapuuzi wengine unaochangia kuwakandamiza Watanzania. Umetuonesha yale yote ulikuwa unafanya yalikuwa maigizo tu, huna tofauti yote na vijani wengine waliooza.
CHADEMA imetetemesha CCM, imewafanya waumwe kichwa, wananchi wameamka na hawataki ujinga, comments mtandaoni na mijadala mitaani inathibitisha hilo, ili watoboe ilibidi watafute kuungwa mkono ili kuonesha upinzani umeshiriki ilhali wanamuengua mpinzani wao mkubwa CHADEMA.
Lengo la kumpeleka Mpina kuhamia ACT Wazalendo inamaana ataongeza amsha amsha kule ACT Wazalendo, ukijumlisha na CHAUMMA tayari watakuwa na nguvu ya kusema wapinzani walishiriki uchaguzi, na hapa kuna mawili;
1. Utokee wizi wa maana yaani ile ya 2020 kuwa cha mtoto, halafu asilimia za kura zigawanywe hivi
Mpina na CCM B, ACT wakipewa 3.4%
Mbowe aaah ni Ubwabwa - CHAUMMA wakapewa 4.5% au .7
Halafu wengine wakagawana wagawane 2% au 3%
Kubwa la maadui mama anatosha ametufikisha hapa wakalama 90% au zaidi
Kwenye hii ni kuwa watapiga umafia wa kutisha kiasi cha kuwanyima na ruzuku kabisa(nacheka ka mazuri) na hakutakuwa na rorote la kuwafanya sababu uhalali tayari wanao, wapinzani wameshiriki lakini watanzania wameelewa show ya mama mpaka wamebubujikwa na machozi ya Lucas Mwashambwa, tukapeta na 100% chama kimoja
2. Watoe 5% kwa chama kimoja wapo either CCM B au C, afu wapili apate 3% wale 14 watagawana 2%, teminator apate 90% au zaidi wakiminya sana, mchezo umeisha.
Hapa wataonesha kuna chama kingine cha upinzani kimeibuka baada ya CHADEMA kufa, na kwakuwa ndio kwanza kimeanza kupata wafuasi ndio wamejitahidi kufikia hiyo asilimia 5%, demokrasia imezidi kuimarika nchini Tanzania
Ni kwanini 90% katika option zote mbili? Hapo lazima wazipiku kura za Magu, kuonesha kuwa Mama (kama ataendelea kuwa mgombea baada ya mpasuko kuendelea kutokea) amekubalika kuzidi Magu, yaani watanzania wamempenda mpaka wamempenda zaidi.
Mpina ungekuwa na nia njema na Watanzania na kweli ulikuwa unataka kuleta mageuzi kwenye siasa, ungeenda kugombea ubunge, maana wewe na sisi tunajua huna ubavu wa kugombea Urais, yaani huna hiyo Pawa ya sasa kutoshea kwenye kile kiti, sasa hata baada ya kujua yote hayo kwanini ushift na kwenda moja kwa moja kutaka Urasi na ACT Wazalendo wakukubali chaap bila upinzani, halafu Watanzania tuamini kwamba hiyo siyo sinema?
Na mlivyokuwa wajinga mkampokea na shushushu mwingine siku hiyo hiyo kwenye chama, aloooo sisi siyo wajingwa bwanaEndeleeni na sinema ila Watanzania wa leo sio wa jana!
Kwani nyie ilikuwaje kwa Lowasa, kwa Dr slaa. Siku zote CCM ndo chimbuko la viongozi waadilifu na wenye uwezoKulingana Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa;

Samahan mkuu je lowasa alipokuja chadema .Kulingana Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa;

Na nyie mlifanya ivo 🤣mlivo vilaza mmesahau wenzenu wakifanya mnaona Gere..Act walichofanya ni sawa na kujikuna mkund**ni na kunusa puani huuu ni utoto hata km zoezi hilo unalifanya chumbani peke yako tukiwa hatukuoni
We ndio msemaji wa watanzania wote.peleka ujinga uko kura tutapiga tena Kwa wingi .alaf mataira kama ww mtabaki kulalamika mtaan kua ccm aijashinda kihalali wakat mmehamasishana wenyewe kutopiga kuraHizo kura za kutengeneza hizo asilimia ni kura za wanaccm, wana ACT, wana CHAUMA na wapuuzi wengine watakaojitokeza kupiga kura. Idadi kubwa ya watanzania hawatajitokeza kupiga kura kutokana hali ya kisiasa ilivyo nchini si ya kidemokrasia. Labda viongozi wa dini wajitokeze kuhamasisha waumini wao kupiga kura. By the way wenye akili kubwa hawataenda kupiga kura licha ya kuwa na vitambulisho vya kupiga kura. Kutokushiriki kwa CHADEMA kutapunguza idadi ya wapiga kura uchaguzi huu
Na simamia leo inshu ya act otherwise uwe una andiko langu la kupongeza kwa kile kilichofanyika kipindi kileNa nyie mlifanya ivo 🤣mlivo vilaza mmesahau wenzenu wakifanya mnaona Gere..
Kwani ulikuwa unaonaje?🌚🌚 Japokuwa context ilikuwa tofauti kidogo, Lowassa ilikuwa ubaya ubwela, akasepa na kijiji, wengine wakaleftishwa in peace na Sir God, wengine wakafukuzwa chama, wengine wakaonywa, na kijiji chake ndio kilisaidia kuioa kura nyingi CHADEMA.... Mwisho wa siku naye alirudi kwenye kijani, kwani alienda burebure kule na chaaap kukubalika kuwa mgombea urais?Samahan mkuu je lowasa alipokuja chadema .
Chadema nayo ilikua ccm B
🤣🤣🤣🤣 dah MkuuAct walichofanya ni sawa na kujikuna mkund**ni na kunusa puani huuu ni utoto hata km zoezi hilo unalifanya chumbani peke yako tukiwa hatukuoni