Kwani Mpina unafikiri alikua kweli hajui katiba ya ACT kwamba hakuisoma Mpina huyu huyu anaweza kuchambua ripoti ya CAG kwamba kashidwa kusoma katiba ya ACT siasa ni hesabu sasa hivi unaongelea MpinaNilidhani hivyo mpaka nilipoona Mpina kafungiwa geti.
🤣🤣🤣 ugomvi wa ndugu hautuhusu.Mtajuana wenyewe
Ova
Abakishiwe wa Mtambwe kwa heshima ya Maalim SeifPRESS RELEASE
Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) ilitoa Ratiba ya Wagombea wa Ubunge kuchukua na kurejesha Fomu za Kugombea (Fomu za Uteuzi).
Leo tarehe 27/08/2025 ni siku ya mwisho ya kurejesha Fomu na ndio siku ya Uteuzi na sasa ni saa kumi kamili na Wagombea wote wa Ubunge wa ACT Wazalendo kwa Majimbo yote 50 ya Zanzibar wameshakamilisha ujazaji wa Fomu hizo na kuzirejesha katika Ofisi zote za Wilaya za INEC zikiwa zimejazwa sawa sawa.
Tumepata taarifa kuwa kuna njama za kuwekewa pingamizi Wagombea wetu bila sababu za msingi kama ilivyofanyika mwaka 2020. Kuhusiana na hili, Chama chetu kimejitayarisha kupambana na hali hiyo kwa namna yoyote ile.
Natanguliza salam za Chama
ACT Wazalendo – Taifa kwanza leo na kesho
Omar Ali Shehe
Naibu katibu Mkuu – Zanzibar
Hata mimi nahisi kuna movie imepangwa. Lengo lake kuwapitishia baada ya ACT ''kupigana'' kwa kila namna. Hapo wataua ile dhana ya kuwa ACT ni nyumba ndogo ya CCM na pia watatoka na kujidai kuwa haki hudaiwa. Si ajabu ukaona na ''maandamano'' ya geresha.ACT siko kwamba wanazima Upepo wa Polepole ngoja
Abakishiwe wa Mtambwe kwa heshima ya Maalim Seif
Hata mimi nahisi kuna movie imepangwa. Lengo lake kuwapitishia baada ya ACT ''kupigana'' kwa kila namna. Hapo wataua ile dhana ya kuwa ACT ni nyumba ndogo ya CCM na pia watatoka na kujidai kuwa haki hudaiwa. Si ajabu ukaona na ''maandamano'' ya geresha.
Nimeeza kuwa wnaweza kuja kumrudisha baadae. Soma vizuri maelezo yanguSidhani. Wangetafuta drama nyingine sio kumuengua mgombea urais. Maana yake ACT watakosa viti maalum na Ruzuku.
Kuruhusu maandamano ni ngumu sana, maana unaweza ukaruhusu halafu NRNE wakaunga humo humo.Hata mimi nahisi kuna movie imepangwa. Lengo lake kuwapitishia baada ya ACT ''kupigana'' kwa kila namna. Hapo wataua ile dhana ya kuwa ACT ni nyumba ndogo ya CCM na pia watatoka na kujidai kuwa haki hudaiwa. Si ajabu ukaona na ''maandamano'' ya geresha.
Kwa hiyo wewe unafurahia dhulma pole sanaAbakishiwe wa Mtambwe kwa heshima ya Maalim Seif
Ngoja wanyooshwe vizuriWaliongea kwa dharau kuwa muhuni hasusiwi, Leo wameanza kulialia.
ACT watulie dawa iwaingie mpka mpate mbunge Mmoja tuPRESS RELEASE
Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) ilitoa Ratiba ya Wagombea wa Ubunge kuchukua na kurejesha Fomu za Kugombea (Fomu za Uteuzi).
Leo tarehe 27/08/2025 ni siku ya mwisho ya kurejesha Fomu na ndio siku ya Uteuzi na sasa ni saa kumi kamili na Wagombea wote wa Ubunge wa ACT Wazalendo kwa Majimbo yote 50 ya Zanzibar wameshakamilisha ujazaji wa Fomu hizo na kuzirejesha katika Ofisi zote za Wilaya za INEC zikiwa zimejazwa sawa sawa.
Tumepata taarifa kuwa kuna njama za kuwekewa pingamizi Wagombea wetu bila sababu za msingi kama ilivyofanyika mwaka 2020. Kuhusiana na hili, Chama chetu kimejitayarisha kupambana na hali hiyo kwa namna yoyote ile.
Natanguliza salam za Chama
ACT Wazalendo – Taifa kwanza leo na kesho
Omar Ali Shehe
Naibu katibu Mkuu – Zanzibar
Wewe utapata wabunge wangapi ?ACT watulie dawa iwaingie mpka mpate mbunge Mmoja tu
Wewe utapata wabunge wangapi ?
Naomba CCM shikilia hàpo hapo, ili tuongee lugha moja kama vyama vya upinzani,PRESS RELEASE
Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) ilitoa Ratiba ya Wagombea wa Ubunge kuchukua na kurejesha Fomu za Kugombea (Fomu za Uteuzi).
Leo tarehe 27/08/2025 ni siku ya mwisho ya kurejesha Fomu na ndio siku ya Uteuzi na sasa ni saa kumi kamili na Wagombea wote wa Ubunge wa ACT Wazalendo kwa Majimbo yote 50 ya Zanzibar wameshakamilisha ujazaji wa Fomu hizo na kuzirejesha katika Ofisi zote za Wilaya za INEC zikiwa zimejazwa sawa sawa.
Tumepata taarifa kuwa kuna njama za kuwekewa pingamizi Wagombea wetu bila sababu za msingi kama ilivyofanyika mwaka 2020. Kuhusiana na hili, Chama chetu kimejitayarisha kupambana na hali hiyo kwa namna yoyote ile.
Natanguliza salam za Chama
ACT Wazalendo – Taifa kwanza leo na kesho
Omar Ali Shehe
Naibu katibu Mkuu – Zanzibar
Si zitto amewaahidi atalinda kura? Aanze na hilo kama likitokeaPRESS RELEASE