Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa ibara ya pili ya katiba ya JMT, eneo la JMT ni eneo lote la iliyokuwa Tanganyika na eneo lote la iliyokuwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar!.TAARIFA KWA UMMA
TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR
Jambo ambalo Serekali ya Zanzibar haipaswi kuona aibu kuficha wala kulifumbia macho juu ya khatma ya utafutaji wa mafuta na gesi katika eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar. Fungu Mbaraka au Fungu Kizimkazi au Kisiwa cha Latham, Kisiwa ambacho masafa kutoka rasi ya Kizimkazi hadi katika Kisiwa hicho ni mail 36 (Kilomita 57.9). Kisiwa hicho kina urefu wa mita 320 na upana wa mita 164.5 kwa vipimo vya mwaka 1898. Kisiwa hicho kilitangazwa rasmi kuwa mali ya Zanzibar saa 12 asubuhi ya tarehe 10 october 1898.
Chama cha ACT Wazalendo, Tunamtaka Raisi Samia Suluhu Hassan asikukubali kutumika kuiziba mdomo Zanzibar kwa kushiriki katika ufunguaji huu wa leseni mpya za vitalu vya mafuta na gesi kwa Tanganyika bila yakutatua mkanganyiko uliopo sasa. Hata hivyo Chama chetu, hakitasita na kuendelea kua sauti ya Wazanzibari kwa kusimamia Serekali juu ya masuala yote yanayohusu rasilimali za Zanzibar kwa maslahi ya wanachi wa Zanzibar.
Imetolewa leo, tarehe 03/01/2025 na,
Ndg. Said Ali Mbarouk
Msemaji wa Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar
0779955778
Zanzibar wana shida ya ulafi na uroho.Hata kama zingekuwa nchi mbili sheria ya. bahari inataka mpaka upite katikati ya bahari kama umbali wa bahari ya nchi mbili hauzidi umbali wa exclusive economic zone wa nchi moja au in case ya umbali wa territorial water hauzidi territorial water wa nchi moja sasa kisiwa ambacho kipo maili sita toka Tanganyika kati ya umbali wa km 42 kati ya Tanganyika na Zanzibar hakiwezi kuwa upande wa zanzibar.
Gesi ya Mtwara inanufaisha Zanzibar kaa ilivyo madini , Utalii n.k. ikiwemo Ardhi .TAARIFA KWA UMMA
TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR
Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na Serekali ya awamu ya sita ya Dr. Abedi Amani Karume na aliekua Waziri wa sekta hiyo ndugu Mansour Yussuf Himid, kuweka msingi wa wazi na kishujaa wa kulinganganua suala la mafuta na gesi asilia kutoka makucha ya Tanganyika.
Kilitangazwa na nani? Mpaka wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa wapi baada ya Uhuru ? Latham ilikuwa wapi!Jambo ambalo Serekali ya Zanzibar haipaswi kuona aibu kuficha wala kulifumbia macho juu ya khatma ya utafutaji wa mafuta na gesi katika eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar. Fungu Mbaraka au Fungu Kizimkazi au Kisiwa cha Latham, Kisiwa ambacho masafa kutoka rasi ya Kizimkazi hadi katika Kisiwa hicho ni mail 36 (Kilomita 57.9). Kisiwa hicho kina urefu wa mita 320 na upana wa mita 164.5 kwa vipimo vya mwaka 1898. Kisiwa hicho kilitangazwa rasmi kuwa mali ya Zanzibar saa 12 asubuhi ya tarehe 10 october 1898.
Kumbe Zanzibar ina mipaka! Haya maneno msije kuyasahau maana Tanganyika ina mipaka pia.ACT Wazalendo tunazo taarifa zenye kuaminika kwamba Serekali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, ipo katika maandalizi ya kutangaza utowaji mpya wa leseni kwa vitalu vipya kwa awamu ya tano (5th licencing round) katika eneo la ziwa Tanganyika na bahari ya hindi ikiwemo eneo la Fungu Mbaraka na eneo la bahari kuu upande wa Zanzibar, uzinduzi ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 05/3/2025 huku mgeni rasmi akitegemewa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan, kufanya hivo ni kuingilia mipaka ya Zanzibar jambo ambalo halikubaliki kisheria.
JMT ina Zanzibar ndani yake. Hapa ni Serikali ya JMT na Zanzibar, ACT wanawalumu Watanganyika kwa lipi? Tanganyika imefichwa haina serikali.Ukimya huu kwa Serekali zote mbilli ile ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na hii ya Zanzibar pamoja na Taasisi zao zote zinazohusika na masuala ya utafutaji na uchimbaji wa mafuta unatia mashaka na kuibua maswali mengi kwa wananchi.
Mpaka haujadiliwi na upande mmoja. ACT tuungane Tanganyika irudi halafu tujadili mipaka na matumizi ya rasilimali. Mtakuwa na rasilimali zenu , Tanganyika haitabeba mzigo wa gharama . Ugomvi utakwisha!5. Serekali ya Zanzibar itoke hadharani na kueleza umma kwa tamko rasmi la serekali kwamba eneo la Fungu Mmbaraka ni eneo la Zanzibar na haipaswi kwa mamlaka nyengine yoyote kufanya shuhuli yoyote bila ya ridhaa ya Serekali ya Zanzibar.
Haya maneno myakumbuke maana ipo siku Watanganyika wataitaka serikali ya Muungano kuzuia uporaji wa Ardhi kwa Watu kutoka Zanzibar!Tunaitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwacha mara moja mpango wake wa utowaji wa leseni kwa eneo la la Fungu Mbaraka eneo ambalo ni mali ya Zanzibar na kuindoa mara moja eneo lote la Zanzibar katika mpango wao wa baadae wa uchimbaji wa mafuta na gesi ili kuondoa migogoro inayoweza kutokea.
Mna hiari na Rais Samia!Chama cha ACT Wazalendo, Tunamtaka Raisi Samia Suluhu Hassan asikukubali kutumika kuiziba mdomo Zanzibar kwa kushiriki katika ufunguaji huu wa leseni mpya za vitalu vya mafuta na gesi kwa Tanganyika bila yakutatua mkanganyiko uliopo sasa.
Rasilimali za Tanganyika ni za wote , za Zanzibar ni kwa masilahi ya Wazanzibar.Hata hivyo Chama chetu, hakitasita na kuendelea kua sauti ya Wazanzibari kwa kusimamia Serekali juu ya masuala yote yanayohusu rasilimali za Zanzibar kwa maslahi ya wanachi wa Zanzibar.
Tumewaambia Watanganyika siku nyingi , hiki Chama cha ACT ni cha Zanzibar!Imetolewa leo, tarehe 03/01/2025 na,
Ndg. Said Ali Mbarouk
Msemaji wa Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar
0779955778
Umbali wa Dar na Kizimkazi ni miłe kama 42, kisiwa kiko miłe sita kutoka Dar, karibu na Mmbudya wanasema ni sehemu ya Zanzibar.
Maana yake sehemu kubwa ya mipaka ya bahari kati ya bara na Zanzibar ni sehemu ya Zanzibar.
Hawa watu akili zao zinawatosha wenyewe.
Halafu toka waachiwe maeneo (nje ya hiko kisiwa cha Fungu Mbraka) mpaka leo washafanya auction ngapi au kuna commercial reserves huko.
Mafuta na gas ni rock basin ambayo upande wa bara kuanzia Mozambique kuja Dar.
Hakuna mafuta Zanzibar worth of commercial exploitation.
Kulikuwa na CUF mbili, CUF Maalim Seif na CUF
Umbali wa Dar na Kizimkazi ni miłe kama 42, kisiwa kiko miłe sita kutoka Dar, karibu na Mmbudya wanasema ni sehemu ya Zanzibar.
Maana yake sehemu kubwa ya mipaka ya bahari kati ya bara na Zanzibar ni sehemu ya Zanzibar.
Hawa watu akili zao zinawatosha wenyewe.
Halafu toka waachiwe maeneo (nje ya hiko kisiwa cha Fungu Mbraka) mpaka leo washafanya auction ngapi au kuna commercial reserves huko.
Mafuta na gas ni rock basin ambayo upande wa bara kuanzia Mozambique kuja Dar.
Hakuna mafuta Zanzibar worth of commercial exploitation.
Nenda kasome UN maritime law, kila nchi inayopakana na bahari inaweza ku-claim mpaka 200 nautical miles as ‘exclusive economic zone’.Kuwa mile sita sio hoja kama automiatic kinakuwa cha Tanganyika. Leteni mipaka yenu kisheria muliainishiwa wakati wa uhuri tuone
Nenda kasome UN maritime law, kila nchi inayopakana na bahari inaweza ku-claim mpaka 200 nautical miles for as ‘exclusive economic zone’.
Ukiona kuona ACT mahatahira wao bado wanaishi kwenye mipaka ya kikoloni zama za ‘scramble for Africa’.
Kwa mujibu wa ibara ya pili ya katiba ya JMT, eneo la JMT ni eneo lote la iliyokuwa Tanganyika na eneo lote la iliyokuwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar!.
Ardhi yote ni mali ya Watanzania chini ya udhamini wa rais wa JMT, ila Rais wa JMT kabla hajalihawanya eneo la Zanzibar, atajadiliana kwanza na rais wa Zanzibar, visiwa vyote vya bahari ya Hindi mkabala na Tanzania ikiwemo Zanzibar na Pemba ni mali ya JMT.
P
nchi zote za Africa zinatokana na mipaka ya kikoloni
Nadhani ACT Wazalendo wanakua WAJINGA.
Samia Suluhu Hassan ana MAMLAKA KAMILI juu ya Mipaka ya iliyokua Tanganyika na eneo lote la Zanzibar. ACT wafahamu kuwa Rais wa Zanzibar ana "assume" hayo madaraka kwa Hisani TU.
Pili. Kwenye majadiliano na kampuni hizi za mafuta, nchi huwa inatakiwa kutoa guarantee ya ulinzi. Sasa kama Zanzibar wanataka independence kwenye eneo hili, wana Jeshi la kutoa ulinzi kwenye eneo husika mafuta yakipatikana? kwa sababu ni lazima waangalie picha kubwa ya mbele. JWTZ na majeshi mengine ni suala la JMT na sio jambo la Tanganyika au Zanzibar. Security Guarantee Zanzibar itatoa wapi nyakati za kufanya final investment decision??
Wana uwezo wa kutoa State guarantee? as far as I am concerned, hizi kampuni zitahitaji dhamana kwa jina la JMT sio Zanzibar
Kulekwenye kitabu niupuuzi na aibutubu, itoshekusema kabwendela njaa Inamsumbua anatafuta jinsi ya kuanza kujitafuta.Mmeishaachana na kitabu cha Kabe Tena!
View attachment 3192317
![]()
Who owns the ocean?
Are the oceans really free for all? Find out what could be done to protect marine environments – and who has the power to make it happenwww.rmg.co.uk
Mambo mengine kubishana ni utoto, hakuna mipaka ya bahari duniani (ni mali ya wote).
Kilichopo ni nchi inaruhusiwa kufanya-commercial exploitation ndani ya 200 nautical miles from its coastline.
Nimekwambia na sheria husika inayosema hivyo UN Maritime law, wewe umekadhana hadithi za mipaka ya ‘scramble for Africa’.
Akili zenu zinawatosha wenyewe
Ila Raia wa Tanganyika kamwe hataongoza Zanzibar 🤣Mkiambiwa Samia ni raia wa nchi ya Zanzibar anayetawala Tanganyika mapovu yanawatoka.