JanguKamaJangu JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 2,780 Reaction score 6,607 Mar 31, 2024 #1 Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Pia soma - Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo binafsi ya kisiasa
Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Pia soma - Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo binafsi ya kisiasa
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Mar 31, 2024 #2 Ndugu wamoja ktk ushirikiano
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Mar 31, 2024 #3 Kamanda alishasema wahusika wamekwisha kamatwa!
M Mkumbwa Jr JF-Expert Member Joined Mar 23, 2016 Posts 2,668 Reaction score 3,751 Mar 31, 2024 #4 kipara kipya said: Kamanda alishasema wahusika wamekwisha kamatwa! Click to expand... Niliona mahali eti polisi walisema wamewakamata na walikua wafanya biashara wenzake.
kipara kipya said: Kamanda alishasema wahusika wamekwisha kamatwa! Click to expand... Niliona mahali eti polisi walisema wamewakamata na walikua wafanya biashara wenzake.
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Mar 31, 2024 #5 Mkumbwa Jr said: Niliona mahali eti polisi walisema wamewakamata na walikua wafanya biashara wenzake. Click to expand... Kama Act hawataki basi wao wanawajua wahusika waonyeshe!
Mkumbwa Jr said: Niliona mahali eti polisi walisema wamewakamata na walikua wafanya biashara wenzake. Click to expand... Kama Act hawataki basi wao wanawajua wahusika waonyeshe!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 31, 2024 #6 Pole yao sana wafiwa... Cc: Mahondaw