econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kinachowaponza chadema ni kishindwa kujua wanapigania nini?
Awali wananchi waliwaelewa walipokuja na ajenda ya ufisadi akaingi JPM na hyo ajenda, kawabana wote mafisadi,badala ya kumuunga mkono,wakabaki wanawakingia mafisadi kifua, na kuanza kumponda JPM
Haya Sasa, wataingia Kwa wanananchi na ajenda gani wawaelewe km hapo mwanzo?
Infact hawana Tena mvuto,kwani nao wameshaonekana wana ajenda mbaya nyuma ya pazia.
Hata kipindi Cha Corona,wakawa wanalazimisha Watu wafungiwe ndani!!
Hapo ndipo uzalendo wao ulizidi kuonekana ni zero.
Maelezo ni mengi, heri CCM waendelee tu,Hadi chama kingine chenye Nia njema na nchi hii kitakapo anzishwa
Acha hizo. Magufuri alipambana na ufisadi gani wakati mafisadi walikuwa wanachiwa baada ya kukiri kosa na kutoa pesa kidogo. Ufisadi mwingi sema alificha kwa kutumia vyombo vya habari.
Kitu ambacho lazima ukifahamu Ni kwamba Magufuri alitumia Sana ajenda za CHADEMA Ili kuiua. Yeye alidhani kufanya hivyo ata iua CHADEMA na aliposhindwa mwisho wa siku akaanza kutumia ubabe, Kama kupoteza watu na kumimina risasi ovyo.