GE2025 ACT Wazalendo: Jeshi la Polisi Liache Kutumika Kisiasa, Katibu wa Jimbo la Kiwani Akamatwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
TAARIFA KWA UMMMA
"Tunaitaka Jeshi la Polisi liache kutumika kisiasa"​
Tumepokea taarifa, ya kukamatwa usiku mkubwa kwa Katibu wetu wa Jimbo la Kiwani Ndugu. Saleh Ali Masoud na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba na anashikiliwa katika kituo cha Polisi Madungu.

ACT Wazalendo, tunalalamika kwamba kwa Katibu wetu wa Jimbo la Kiwani na Jeshi la Polisi ni mbinu inayotumika ya viboko na hujuma inayolenga kumzuia Mgombea wetu wa Uwakilishi wa Jimbo hilo asirejeshe fomu yake katika Tume ya Uchaguzi ili Mgombea Uwakilishi wa CCM apitishwe bila ya kupingwa baada ya mkakati wa kumudu kushindwa. Hujuma hizo imeekezwa kwa Katibu wa Jimbo la Kiwani ambaye ndiye mtendaji mkuu wa Chama katika Jimbo kwa kuamini kuwa ndiye anayesimamia ukamilishwa kwa taratibu za kisheria za Mgombea wetu katika ujazaji wa fomu zake za uteuzi.

ACT Wazalendo tunalilaka, Jeshi la Polisi kumuchilia mara moja Ndugu Saleh Ali Masoud na lisikubali kutumika kisiassa kwani kutumika kwao kutapelekea kutokwa na sintofahamu zisizo za lazima.

ACT Wazalendo tunaendelea kuwaishi wenyeviti waka ambao sasa ni dhahiri wameona kwamba wamekatiliwa na Wazanzibari kuacha mara kuwasisha, kuwakamata na kuwambikia kesi zisizo na mashiko viongozi na wanachama wetu, jambo hili hatutokubali wala kulivumilia.
Imetolewa Leo tarehe 05/09/2025 na

Salim A. Bimani,
Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma,
Chama cha ACT-Wazalendo
Vuga - Zanzibar, P.O. Box 105043,
Tel: +255 777 414 112 / +255 655 314 112
Email: [email protected]
Website: www.actwazalendo.or.tz
Screenshot_20250905-140947.png
 
TAARIFA KWA UMMMA
"Tunaitaka Jeshi la Polisi liache kutumika kisiassa"

View attachment 3465615
Wsitupigie kelele hao CCM B
 
Back
Top Bottom