NTWA MWIKEMO
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 734
- 366
Moto umewaka ndani ya ACT Wazalendo Kigoma kutokana na Azma ya Madiwani wote kumkataa Meya wa Manispaa . Usiku wa kuamkia tarehe 16.01.2020 wamejikuta viongozi wa kitaifa wakishindwa kuyamaliza na kusababisha kuendelea kufukuta mpka walilazimika kutumia Mishumaa ili kuendelea kutafuta suluhisho la mgogoro wa madiwani wake.
Mkuu wa chama atishia kuwafukuza baadhi ya Madiwani pamoja na baadhi ya wajumbe wa vikao vya maamuzi ya Chama ngazi ya jimbo na mkoa wanaowaunga mkono madiwani ambao hawaridhishwi na mwenendo wa Meya.
Madiwani Wamepanga kumsurubu wakimwita Wamechoka kufanya kazi na Wazee wa 10% , na Wamejipanga asipotolewa Meya Watamwachia chama chake Waendelee na Madili yao.
Hili Jeshi la Polisi Kigoma lichukue tahadhari kubwa Moto unaweza ukawaka tarehe 17.01.2020 Mwanga Centre. Ngumi zinaweza kupigwa.
Note Hali si shwari, Zitto anatuhumiwa amekula peke yake mshiko waliokubaliana wagawane Milioni 10 kila mmoja. Inasemekana Meya alikatiwa M50