Tetesi: ACT Wazalendo Kigoma Mjini kwawaka moto

Tetesi: ACT Wazalendo Kigoma Mjini kwawaka moto

Tatizo uzi wako umeuleta kiushabiki sana na unaonekana ni gambaz

Sent using Jamii Forums mobile app
Saizi Wapo Ofisi za ACT Wazalendo Kigoma ujiji wanawabembeleza Madiwani wakubali kupokea hata M5 yaishe napo wamesimika. Mwanzon team Leader alikuwa ni Zitto Kabwe saizi anajifanya naye hayumo baada ya kuona tayari wamegawana mipesa kutoka kwa Wakandarasi.
 
M10 kila mmoja na zipo M 50 hahahahahahhha sijaipata hiyo picha!!!kwani mgao ni wa wangapi?
 
Nakuona upo kwenye shughuli zako za kila siku hapo dodoma
Alafu alivyokaribia kufika kwenu akaufyatulia angani!
FB_IMG_1518066617009.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
M10 kila mmoja na zipo M 50 hahahahahahhha sijaipata hiyo picha!!!kwani mgao ni wa wangapi?
Yaani Kiongozi ni kwamba Madiwani wapo 23 kati ya 26 waliomkataa Meya Wakiwemo akina Omary Gindi wa Chadema aliyevuta kilo 5 za kukataa sahihi na akina Kacheche wanaojifanya wapambe kumbe wametumia Fursa kupiga hera. Meya wamemnyonya kwelikweli Mpaka Huruma. Chanzo Wanataka kumkomesha na kuzirudisha Meya na Zitto walizozivuta kwa Mchina 10%Ya Gharama ya Ujenzi wa Barabara, 10%Kwenye Ujenzi wa Bandari 😆😆😆😆😆😆😆😆😎, Madiwani wa ACT wanatumiwa kama tissue/tolet paper. Nasikia wamepanga ijumaa na kesho Wamzingue kimbembele Kacheche na Kalyango. Kalyango alikuwa anapumuliwa zamani sijui mapak saizi anadandiwa
 
Ndio ukomavu wa kisiasa huo. Heri hawa wana uwezo wa kusema na kutofautiana. CCM kuna sauti moja tu....hahahaha unakunja mkia

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani CCM kidume (jogoo) ni mmoja tuu, wengine ni mitetea tuu.
Na yule mtetea mkuu toka udsm naona ndio ameshika kasi kutetea kama mtagaji mayai mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuhusu nini? Wewe angaikia kuishauri ccm yako wawaletee umeme wa uhakika badala ya kutumia mishumaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona opposition wakiisema CCM hawaambiwi hayawahusu.
Hoja kwamba hayawahusu ni hoja dhaifu inayotolewa na watu wanaoshindwa kujitetea.
Kwani ACT hawatokuja kuniomba kura?
 
Back
Top Bottom