Tetesi: ACT Wazalendo Kigoma Mjini kwawaka moto

Naona mshaanza kujenka mbinu za kuufungia mkutano wa Mbunge wa Ujiji. Mbona tunamuogopa zitto.

Tumesema hatashinda , basi tumuache afanye yake sisi tuchukue kura.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
katika Hali isiyo ya kawaida licha ya Meya kupoteza hela nyingi kuwapooza Madiwani na Wengine kujipendekeza kama Wapambe wake kumbe wametumia Fursa, kama wanaojiita Waganga wa kienyeji akina Kalyango na Kacheche nao kweli mmemfilisi hivi meya kumbe usiku mnapanga Mipango na Zitt Kabw kwamba mmeliweza.

Malipo ni hapahapa Duniani licha ya Meya naye kutenda zambi ya kugawa rushwa na kuombaomba fedha za kutoa Rushwa kwa Watumishi wa Serikali jambo ambalo linaonesha alivyonyonywa mpaka shida.
Hivi Meya anapata pesheni shilingi ngapi?
Kwa Hesabu za haraka haraka ametumia zaidi ya M30 kiais kikubwa wamekula matapeli wanaojifanya Wapambe kumbe Wanamkomesha Hussein Luhava

Wasuluhishi kutoka makao Makuuu jana wamewahindwa wataendelea leo Ijumaa 17/01/2020 kuwaomba . Makamo Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa masema kwa kweli Madiwani waliosema ukweli ndiyo wazuri ila amegundua asilimia kubwa hawamtaki Meya ila wanalazimishwa kumtaka.

Tutaendele kuleta update kinachojili na Leo Zitt anamkutano Ngumi zinaweza kupigwa vya hatariii kwani kuna kundi kubwa hawamtaki Zitto na Meya.
 
Inaonekana dhahiri kwamba hupendi watu waelewe unachokiwasilisha.
 
Hivi kumbe Kalam Kail naye alikuwa Msululishi kweli ACT hawana vichwa, Wana Makundi tu ya kuongoza na kusema
 
Watu aina ya BABA LEVO lazima Ni wagonvi Sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Levo ametulia sana, naye ana Maumivu ya Zitto Kabwe. Alimdanganya atamsomeshea Watoto wake akiwa gerezani lakini alichokikuta mtaani Baba Levo hana Hamu na Zitto Kabwe.
Ni mtaalam wa kutengeneza story za uongo mpaka ananuka harufu chafu ya uongo. Huku Kigoma Zitto akiongea Bungeni kila neno tunajua kuna Mtu anataka kumpiga mpunga. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† mawazir wanatakiwa wawe Makini naye.
 
Tuwakumbushe akina kinyongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…