Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Vipi , wewe hutaki Katiba mpya kama ACT ?ACT Wazalendo hawatumiki na yeyote, ni vile tu watawala wa upinzani wanapotaka kuutawala upinzani wote. Waacheni ACT wafanye siasa zao, nanyi fanyeni zenu, sioni ugumu katika hilo. Mnatumia nguvu kubwa kupambana na ACT huku nyie mkiendelea kuperish
ACT hawajakataa katiba mpya, and katibya mpya haitatatua shida zako, iliyopo haiheshimiwi, mnafanya nini ili iheshimiwe? Hamuheshimu hata katiba za vyama vyenu, katiba ya chama chako ilikuwa mihula miwili kwa mwenyekiti, akanogewa, akachakachua juu kwa juu, now ni Mkiti wa milele! Eti mnadai katiba mpya, poor youVipi , wewe hutaki Katiba mpya kama ACT ?
Huwezi kuungana na Chama kinachopinga KATIBA MPYA ukajiita MPINZANIACT Wazalendo hawatumiki na yeyote, ni vile tu watawala wa upinzani wanapotaka kuutawala upinzani wote. Waacheni ACT wafanye siasa zao, nanyi fanyeni zenu, sioni ugumu katika hilo. Mnatumia nguvu kubwa kupambana na ACT huku nyie mkiendelea kuperish
Sitashaangaa kwakuwa watzz ni wabobezi kwenye inaaa🤔.Hao waliobeba bendera z ACT unakuta ni wanaccm🤣🤣🤣
Wanadandiaje hewani habari ya time ya uchafuzi, badaya ya katiba mpya ambayo ndani yake italeta time huru ya uchaguziONYESHA POPOTE AMBAPO ACTWAZALENDO WAMESEMA HAWATAKI KATIBA MPYA POPOTE ONYESHA!
Ukishindwa wewe ni mzushi.
Halafu mjue ACT kipo ndani ya serekali Zanzibar usitegemee matendo yao yatafanana na CDM.
Kama hujui wao wanapush katiba kutokea ndani ya duara za maamuzi. Mkitaka shirikianeni nao au wachukulieni kama sehemu ya serekali. Ila kila chama kina maamuzi yake CDM wawache kujimilikisha upizani.
Tunaposema ZITTO na CHAMA chake Sio WAPINZANI ni pamoja na Kuamua Kudai TUME ya UCHAGUZI badala ya KATIBA MPYA.
KATIBA ndio kila Kitu hiyo TUME ya Uchaguzi Waitakayo kina ZITTO lazima IONGOZWE na Sheria Zilizomo kwenye KATIBA , TUME iliyopo Iliundwa baada ya KATIBA, Inashangaza sana MWANASIASA Anayejitangaza Eti ni MPINZANI Wakati Anadhohofisha Mipango ya WAPINZANI.
CCM haitaki KATIBA MPYA na ZITTO na ACT nao Hawataki KATIBA MPYA.
Kwanini HAWATAKI?
Ni wakati wa KUONGEZA MAPAMBANO ya KUDAI KATIBA MPYA hata kama ITACHUKUA MIAKA 5 TUDAI TU.
ACT WAZALENDO sio CHAMA cha UPINZANI ni TAWI la CCM.
View attachment 2082736View attachment 2082737
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
ONYESHA POPOTE AMBAPO ACTWAZALENDO WAMESEMA HAWATAKI KATIBA MPYA POPOTE ONYESHA!
Ukishindwa wewe ni mzushi.
Halafu mjue ACT kipo ndani ya serekali Zanzibar usitegemee matendo yao yatafanana na CDM.
Kama hujui wao wanapush katiba kutokea ndani ya duara za maamuzi. Mkitaka shirikianeni nao au wachukulieni kama sehemu ya serekali. Ila kila chama kina maamuzi yake CDM wawache kujimilikisha upizani.
Miongoni wa hasara kubwa kwa taifa ni wote mithili ya nyie mnaofikiri kutudanganya kuwa tume huru katika mazingira ya Sasa italeta suluhisho la chafuzi mnazo ratibu .ACT hawajakataa katiba mpya, and katibya mpya haitatatua shida zako, iliyopo haiheshimiwi, mnafanya nini ili iheshimiwe? Hamuheshimu hata katiba za vyama vyenu, katiba ya chama chako ilikuwa mihula miwili kwa mwenyekiti, akanogewa, akachakachua juu kwa juu, now ni Mkiti wa milele! Eti mnadai katiba mpya, poor you
Baada ya kumuua seif act wamekuwa wahuni tuTunaposema ZITTO na CHAMA chake Sio WAPINZANI ni pamoja na Kuamua Kudai TUME ya UCHAGUZI badala ya KATIBA MPYA.
KATIBA ndio kila Kitu hiyo TUME ya Uchaguzi Waitakayo kina ZITTO lazima IONGOZWE na Sheria Zilizomo kwenye KATIBA , TUME iliyopo Iliundwa baada ya KATIBA, Inashangaza sana MWANASIASA Anayejitangaza Eti ni MPINZANI Wakati Anadhohofisha Mipango ya WAPINZANI.
CCM haitaki KATIBA MPYA na ZITTO na ACT nao Hawataki KATIBA MPYA.
Kwanini HAWATAKI?
Ni wakati wa KUONGEZA MAPAMBANO ya KUDAI KATIBA MPYA hata kama ITACHUKUA MIAKA 5 TUDAI TU.
ACT WAZALENDO sio CHAMA cha UPINZANI ni TAWI la CCM.
View attachment 2082736View attachment 2082737
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Tunaposema ZITTO na CHAMA chake Sio WAPINZANI ni pamoja na Kuamua Kudai TUME ya UCHAGUZI badala ya KATIBA MPYA.
KATIBA ndio kila Kitu hiyo TUME ya Uchaguzi Waitakayo kina ZITTO lazima IONGOZWE na Sheria Zilizomo kwenye KATIBA , TUME iliyopo Iliundwa baada ya KATIBA, Inashangaza sana MWANASIASA Anayejitangaza Eti ni MPINZANI Wakati Anadhohofisha Mipango ya WAPINZANI.
CCM haitaki KATIBA MPYA na ZITTO na ACT nao Hawataki KATIBA MPYA.
Kwanini HAWATAKI?
Ni wakati wa KUONGEZA MAPAMBANO ya KUDAI KATIBA MPYA hata kama ITACHUKUA MIAKA 5 TUDAI TU.
ACT WAZALENDO sio CHAMA cha UPINZANI ni TAWI la CCM.
View attachment 2082736View attachment 2082737
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Waambie ACT-CCM,Watafute wanachama waliyopo Ni wafuasi wa maalimu,hivi punde wanahamia chama chao kipya.ACT Wazalendo hawatumiki na yeyote, ni vile tu watawala wa upinzani wanapotaka kuutawala upinzani wote. Waacheni ACT wafanye siasa zao, nanyi fanyeni zenu, sioni ugumu katika hilo. Mnatumia nguvu kubwa kupambana na ACT huku nyie mkiendelea kuperish