Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Ngeli ndio janga kubwa sana hapa nchini, kuna Madam waziri wa Afya inabidi atolewe pale anatuaibisha sana au awe anatumia kiswahili tu kwenye hotuba zake.Watanzania wengi hawajui kuandika Kiswahili. Yaani Kiswahili ni Tatizo na Kingereza pia.