Tetesi: ACT Wazalendo : Kufanya Mkutano wa Halmashauri Kuu kubadili agenda ya No Reform No election

Watanzania wengi hawajui kuandika Kiswahili. Yaani Kiswahili ni Tatizo na Kingereza pia.
Ngeli ndio janga kubwa sana hapa nchini, kuna Madam waziri wa Afya inabidi atolewe pale anatuaibisha sana au awe anatumia kiswahili tu kwenye hotuba zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…