Jasusi mbobezi....Jasusi huyu anajipanga vizuri na kwa umakini mkubwa sana,tusubiri tu tuone atakavyowagaragaza ccm
Japokuwa ana hali ngumu kisiasa kupambana na Ccm. Lakini ni vyema ukathibitisha kama hizi picha ni za leo au jana.Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni ? Kuna nini kinaendelea ?
View attachment 1565979
View attachment 1565980
alisema yeye ni kachero na kachero hastaafuNdiyo Maana Chadema Iligoma Kuungana Na ACT
Membe Haaminiki
Labda ya Zamani hii.Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni ? Kuna nini kinaendelea ?
View attachment 1565979
View attachment 1565980
Anajua anachofanya. Inawezekana ni mbinu za kisiasa.Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni ? Kuna nini kinaendelea ?
View attachment 1565979
View attachment 1565980
Jasusi mbobezi aliyefeli kindezi😁 ila tukumbuke tu huyu ni ccm damuHabari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni ? Kuna nini kinaendelea ?
View attachment 1565979
View attachment 1565980
Salary slip unatamani sana Membe amuunge mkono Lisu lakini ndio hivyo ndoto yako haitokei!Kuna mawili:Membe atakuwa kamuunga mkono Lissu au kashindwa kuelewana na wenzake katika swala la kumuunga mkono Lissu iwapo kweli hakuwa tayari kufanya hivyo kama alivyosikika hivi karibuni na sasa kaamua kuendelea na issue zake zingine.
Lakini,huenda kapata dharura hivyo tusimuhukumu moja kwa moja bali tujipe muda ingawa dharura hiyo haipaswi kufanywa siri kama kweli kapata dharura.
Ataanza kampeni 15/09/2020Habari zinazozunguka mitandaoni hivi sasa ni kuonekana kwa Bernard K. Membe uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere, taarifa za awali zinasema anaelekea nje ya nchi. Lakini mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka chama cha ACT Wazalendo, Je Mh. Membe ameamua kuachana na kampeni ? Kuna nini kinaendelea ?
View attachment 1565979
View attachment 1565980
Basi mbinu zake ni za kishmba sanaAnajua anachofanya. Inawezekana ni mbinu za kisiasa.
Jasusi mbobezi....
Lkn Lissu alisema yy sio mjinga na chama chake sio wajinga..... Nilimwelewa sana....
Kimsingi act mpinzani wa kweli ni Maalim Seif tu...... Hao wengine wana ndimi mbili mbili