ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?


Bila kupinga maelezo yako mazuri, mimi kama mimi sitaki hata Membe amuunge mkono Lisu, maana hata asipomuunga mkono bado Lisu na support ya kweli ya wapinzani. Huyo Membe ni mwanaccm leo hadi kesho, na ataingia kaburini akiwa mwanaccm.Sana sana akimsupport Lisu atalazimisha kuingia kwenye vikao vya mikakati vya cdm, kisha akirudi ccm anakuwa na siri kama kina Lowassa na Sumaye.

Tusikubali kabisa Membe kumuunga mkono Lisu ni hatari kubwa. Huko ACT mpinzani wa kweli ni Maalim Seif na Wapemba wenzake. Lakini hawa wakina Zito ni kukaa nao kwa akili.
 
Asante.Umeongea point sana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
bado mnampa bichwa?

fananisha mshono wa kampeni za chadema na za ACT ndio utaelewa anaenda wapi..

Anatoka Nduki....

Akimzidi kura TL kwa mbinu yoyote ntashangaa..
Jasusi huyu anajipanga vizuri na kwa umakini mkubwa sana,tusubiri tu tuone atakavyowagaragaza ccm
 
Kafanya Campaign Kusini Halafu Jiongezeni
Mtu Gani Hana Pressure Yaani Ujinga Tupu
 
Maji marefu ,anafuata mbazi wa kumrogea Magufuli
 
JNIA huwa ni kwa wanaoenda nje tuu?
Na wanaonda Zenji watapitia wapi??


Anyway anaenda Uk alaf atasema afya haimruhusu alafu kura zake apewe lissu
Ukiwa uwanja wa ndege kuna sehemu mbili, wale wa safari za ndani na safari za nje huwa hawachangamani.
Hivyo ni rahisi kutambua kuwa abiria ana safari ya ndani ya nchi au nje ya nchi
 
Mkuu tindo ntakubaliana na mawazo yako yaliyo mengi, lakini kuhusiana na Zitto mpaka kesho ntaendelea kuamini nimpinzani halisi, lakini hitilafu yake anauchu wamadaraka hana subira.
 
JNIA huwa ni kwa wanaoenda nje tuu?
Na wanaonda Zenji watapitia wapi??


Anyway anaenda Uk alaf atasema afya haimruhusu alafu kura zake apewe lissu
Acha kujiaibisha, wanaokwenda Zanzibar wanatumia Terminal 1. Hapo alipopigiwa picha ni pa kwenda ughaibuni.

Mambo mengine waachieni wanao panda ndege.
 
Acha tu mkuu politics km politics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…