ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

Ukiwa uwanja wa ndege kuna sehemu mbili, wale wa safari za ndani na safari za nje huwa hawachangamani.
Hivyo ni rahisi kutambua kuwa abiria ana safari ya ndani ya nchi au nje ya nchi
Uko sahihi
 
JNIA huwa ni kwa wanaoenda nje tuu?
Na wanaonda Zenji watapitia wapi??


Anyway anaenda Uk alaf atasema afya haimruhusu alafu kura zake apewe lissu
Mkuu kwani hapo uwanjani, si unaweza ukaona tu ukajua huyu anasafiri nje ya nchi au ndani? Kulingana na eneo ambalo muhusika anapitia?
 

Kwani haruhusiwi kusafiri? mbona jambo la kawaida sana hilo
 
Membe angeshauriwa tu atunze pesa zake alizopiga wakati yupo serikalini. He is fighting a lost battle. Hana chance kabisa na analijia hili vizuri
Nadhani ndio maana hajaingia mazima mazima alibaki kijijini kwake kwanza kupima upepo wa wagombea wengine

"Afisa Kipenyo"
 
Ukiwa uwanja wa ndege kuna sehemu mbili, wale wa safari za ndani na safari za nje huwa hawachangamani.
Hivyo ni rahisi kutambua kuwa abiria ana safari ya ndani ya nchi au nje ya nchi
Huo ni uwanja mpya (terminal 3), ambao hutumika kwa safari za nje ya nchi tu!
 
Kuna mahala nimemsikia akijiapiza kwamba hatajitoa ng'o, yeye ni mbele kwa mbele...
 
Leo yuko Mbeya anaanzia Mbarali asubuhi Uwanja wa Barafu na mchana atakuwa Mbeya Mjini, Ilomba kwenye Uwanja wa Luanda Nzovwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo uwanja ni sehemu ya "maendeleo ya vitu"!
 
Acha kujiaibisha, wanaokwenda Zanzibar wanatumia Terminal 1. Hapo alipopigiwa picha ni pa kwenda ughaibuni.

Mambo mengine waachieni wanao panda ndege.
Membe ni mjanja mjanja sana tumpe muda! Amesha tibua ana acha vumbi Kali 😂
 
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…