ACT Wazalendo Kunani? Membe aonekana uwanja wa ndege JKNIA, akimbia kampeni?

Game gumu ila tutakomaa humu humu...Weye Membe wenzako wameungana na Chadema
 
ivi bado watu wana imani na upinzani nchi hii
ccm babalao aiseeee
 
Membe ameamua kusacrifice kutofanya kameni ili ambebe Lissu.

Lissu mwenyewe alishasema kuwa kuna makubaliano ya siri kati ya Chadema na Act.

Alichofanya Membe ni sacrifice ili asigawe kura.

Badala ya sisi kumpongeza kwa yeye kujitolea ili Jiwe ang'oke, Sisi tunambeza!
 
Ameenda kuchota mahela ya kampeni kwenye hazina yake Dubai!!Nadhani ccm watampa kesi ya uhujum uchumi kama kubenea pale atakapokuja na madola kibao kwenye briefcase!!Ngoja tuone!!!MEMBE NI RAISI AJAE ALIEANDALIWA IWAPO CCM WAKISHINDWA KUMZUIA LISU KWENDA IKULU!!!YALE YALE YA KABILA,MOSE KATUMBI NA SHEKETSEDI KULE CONGO DRC!!!
 
Unaweza kuta ameenda kwa mabeberu kuweka mipango ili Lissu ashinde.

Anajua siri nyinhi sana huyu mbobezi,asiachwe tu anajiendea nje kiholela.
 
PESA ZA UCHAGUZI ZIMEMUISHIA ANAENDA KUKOPA KWA MABEBERU HIVYO LAZIMA MKAE KWENYE MEZA YA MAKUBALIANO
 
alisema tarehe 15 Septemba watu wataona kimbnga kumbakumba wasitarajie kuwa atajitoa
 
Mawakala wa mabeberu wakipishana angani kuhongwa hela za kampeni.
Vipi MO keshakubali kukupatia ule mkopo wa zile pikipiki 16? Pimbi kabisa, wenzako wanakopa benki were unakopa kwa MO? Halafu ukinyimwa unaleta zogo Twitter utadhani kupewa na MO ni haki yako!
 
Vipi MO keshakubali kukupatia ule mkopo wa zile pikipiki 16? Pimbi kabisa, wenzako wanakopa benki were unakopa kwa MO? Halafu ukinyimwa unaleta zogo Twitter utadhani kupewa na MO ni haki yako!

Kumbe Elitwege ni Kigwangala?
 
Labda yupo kwenye shughuli zake za UKACHERO.
Kwani anaonekanaonekanaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…