ACT - Wazalendo kutoa Maoni mbele ya Kikosi Kazi cha Rais leo Mei 23, 2022

ACT - Wazalendo kutoa Maoni mbele ya Kikosi Kazi cha Rais leo Mei 23, 2022

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
631
Reaction score
1,577
Baada ya Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar, Timu ya ACT Wazalendo ipo tayari kuwasilisha Maoni ya Chama mbele ya Kikosi Kazi cha Mh. Rais Kuhusu Demokrasia.

Mikononi ni chapisho la Maazimio ya Kamati Kuu Kuhusu Maoni ya Chama Kwa Kikosi Kazi.

Timu hiyo inaongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Dorothy Semu. Wengine ni Ndugu Joran Bashange (Naibu Katibu Mkuu Bara), Salim Bimani (Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma) na Pavu Abdallah (Katibu wa Haki za Binadamu na Makundi Maalum).

7j1cj.jpg
 
Back
Top Bottom