ACT - Wazalendo kutoa Maoni mbele ya Kikosi Kazi cha Rais leo Mei 23, 2022

Mbowe maoni yake anatoa Ikulu moja kwa moja, hata kwenye baraza sijui la vyama hakwenda alikataa ndiyo maana kaitwa Ikulu, why hajaitwa Nzito na chama chake?

Mkuu chondechonde, weka akiba ya maneno pls. Ninachokiona kwa sasa sio nilichotarajia ndio maana nakusihi.
 
Mbowe ameanza kuomba maridhiano tangu 2019 Mwanza uhuru day, ulitaka wasiende Ikulu waendelee kufungwa na kufanyiwa mambo ya ajabu? vita yoyote humalizwa kwa mazungumzo hata Russia na Ukraine mwisho wao ni mazungumzo mezani?
 
😁😁😁
16532937780160.jpg
 
Kwa CCM sio maridhiano bali inachukuliwa ni kusurrender. CDM ndio wanaita maridhiano ili tuwaelewe. Hayo maridhiano yana faida zaidi kwa utawala wa sasa kuliko kwa CDM. Ngoja tunywe mtori nyama tutazikuta chini.
 
Wewe ulitaka wafanyaje wakatae mazungumzo? wanadola?
 
Back
Top Bottom