ACT - Wazalendo kutoa Maoni mbele ya Kikosi Kazi cha Rais leo Mei 23, 2022

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
631
Reaction score
1,577
Baada ya Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar, Timu ya ACT Wazalendo ipo tayari kuwasilisha Maoni ya Chama mbele ya Kikosi Kazi cha Mh. Rais Kuhusu Demokrasia.

Mikononi ni chapisho la Maazimio ya Kamati Kuu Kuhusu Maoni ya Chama Kwa Kikosi Kazi.

Timu hiyo inaongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara Ndugu Dorothy Semu. Wengine ni Ndugu Joran Bashange (Naibu Katibu Mkuu Bara), Salim Bimani (Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma) na Pavu Abdallah (Katibu wa Haki za Binadamu na Makundi Maalum).

 
Maoni gani tena wakati Ayatolla alishasema katiba hadi 2025 mnaweza kupingana na boss wenu?
 
Mbowe yeye anaenda Ikulu moja kwa moja

Kwa kinachoendelea hata CDM wataagizwa wakatoe maoni yao kwenye hicho kikosi kazi, ili zipatikane picha za kuhalalisha kinachotarajiwa kutolewa na kikosi kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…