Mbowe maoni yake anatoa Ikulu moja kwa moja, hata kwenye baraza sijui la vyama hakwenda alikataa ndiyo maana kaitwa Ikulu, why hajaitwa Nzito na chama chake?
SunguraMbowe ni mjanja sn
Mbowe ameanza kuomba maridhiano tangu 2019 Mwanza uhuru day, ulitaka wasiende Ikulu waendelee kufungwa na kufanyiwa mambo ya ajabu? vita yoyote humalizwa kwa mazungumzo hata Russia na Ukraine mwisho wao ni mazungumzo mezani?Mkuu chondechonde, weka akiba ya maneno pls. Ninachokiona kwa sasa sio nilichotarajia ndio maana nakusihi.
Hata nyie CCM mnatamani kuwa na mtu kama MboweSungura
Umeshaambiwa Katibu mkuu wa Chadema ni Komredi ChongolloHata nyie CCM mnatamani kuwa na mtu kama Mbowe
Umeshiba kade asubuhi asubuhiUmeshaambiwa Katibu mkuu wa Chadema ni Komredi Chongollo
Mbowe ameanza kuomba maridhiano tangu 2019 Mwanza uhuru day, ulitaka wasiende Ikulu waendelee kufungwa na kufanyiwa mambo ya ajabu? vita yoyote humalizwa kwa mazungumzo hata Russia na Ukraine mwisho wao ni mazungumzo mezani?
Wewe ulitaka wafanyaje wakatae mazungumzo? wanadola?Kwa CCM sio maridhiano bali inachukuliwa ni kusurrender. CDM ndio wanaita maridhiano ili tuwaelewe. Hayo maridhiano yana faida zaidi kwa utawala wa sasa kuliko kwa CDM. Ngoja tunywe mtori nyama tutazikuta chini.