ACT-Wazalendo kuwaponda CHADEMA kuwa hawana ofisi sio vizuri. Muwe mnawashauri kwa barua wajenge ofisi

Chuki inahusika hapa na si ukosoaji kwa nia ya kujemga. Isitoshe, CHADEMA teyari wameanza harakati za ujenzi wa ofisi zao karibu nchi nzima mbali na kujenga ofisi za makao makuu.
 

Mungu ibariki Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Pepooz PAWA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…