ACT-Wazalendo kuwaponda CHADEMA kuwa hawana ofisi sio vizuri. Muwe mnawashauri kwa barua wajenge ofisi

Chuki inahusika hapa na si ukosoaji kwa nia ya kujemga. Isitoshe, CHADEMA teyari wameanza harakati za ujenzi wa ofisi zao karibu nchi nzima mbali na kujenga ofisi za makao makuu.
Wajinga wanachoshindwa kuelewa ni kuwa Chama sio makao makuu bali chama ni kule kwenye wanachama na ndio kulikoanza kujengwa maofisi.
Waambie waone huko Makambako, Njombe, Bunda, Katavi nk nk nini kinaendelea.
Sasa hao ACT walio na bendera nyingi kuliko wanachama wanataka kusema nini?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
ACT ni vibaraka wa CCM hivyo tuwapuuze tu.
 
MaCHADEMA hayapendi sikia ukweli. Bilioni 15 na michango ya kuomba omba waaapei?!
MaCHADEMA wanaweza uzinzi na wizi wa ruzuku
 
Uzinzi? Jee washawahi kukusukumia moto? Hata kama kuna mwana Chadema kesha kulamba kwani alikulamba kwa kutumia jina la chama? Basi umekubuhu dada fisi 2, badili tabia!
 
Nchi haijengwi kama ofisi bali nchi inajengwa mfano wa ofisi inavyojengwa, tofautisha kati ya maneno "kama" na "mfano".
Kwa hiyo wewe ulitumia neno gani kati ya hayo mawili ili labda tuelewe concern yako ni nini.
 
Uzinzi? Jee washawahi kukusukumia moto? Hata kama kuna mwana Chadema kesha kulamba kwani alikulamba kwa kutumia jina la chama? Basi umekubuhu dada fisi 2, badili tabia!
Nyumbu akijitetea
 
Sasa wewe tunazungumzia kitu cha msingi, ujenzi wa ofisi ya makao makuu ya chama, wewe unasema chadema imejenga ofisi mioyoni mwa watu! Ndiyo kitu gani sasa hicho?
-huelewi maana ya mioyoni mwa watu? maana yake Chama hicho kimekubalika kwa kiwango cha juu kabisa na wananchi, kwa kujitolea nguvu zao kukijenga ukilinganisha na CCM ambayo wanachama wake wanavutwa na fursa zilizo ndani ya ccm .
 
Porojo
 
Back
Top Bottom