YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ijumaa, Oktoba 28, 2022
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kitazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Hafla hiyo ya uzinduzi itafanyika Oktoba 30, 2022 huku Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe ndiye atakayekuwa mgeni rasmi.
Kulingana na taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na chama hicho na kusainiwa na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mawasiliano ya Umma, Janeth Rithe leo Ijumaa, Oktoba 28, 2022 wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi watahudhuria.