Alishasema anastaafu 2024, ataenda kwenye bodi ya wadhamini!! So unless aghairi ila aliahidi Hilo baada ya uchaguzi 2020 so ni utekelezaji tu umebaki.
2. Ku sacrifice haimaanishi asiondoke ila najaribu kusema tusimpime kwa kujenga ofisi ila tuangalie picha kubwa kuanzia kutafuta Hela za magari ya M4C, kujenga Chama Kila kita nchi hii, kusala bajeti ya Chadema ni msingi mfano kule Mbagala Kuna nyumba imenunuliwa na maofisa wa Chadema wameweka kambi pale kujenga chama kuelekea 2025 na makao makuu imetoa double cabin kuzunguka Kila siku Sasa vitu kama hivi haviwezi onekana huko nje ila ni pesa inatumika na ruzuku hakuna!! Sasa imagine enzi zile hatuna wanachama gharama kiasi gani ilitumika kwenye kampeni za Mbowe 2005??
So tusiwe wepesi wa kulalamika ila tuangalie picha kubwa kwamba kama Mbowe angekua mlafi wa Hela sidhani hata chama kingefika hapa kilipo angekua "ameshakimbilia" CCM zamani sana analamba asali kama
Zitto au Lipumba kwani angepoteza Nini mkuu?