Chama "SERA" sio majengo Mu7 alianzia jengo lipi? soon wataanza kuvuana na kuvalishana uanachama...Ijumaa, Oktoba 28, 2022
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kitazindua ofisi yake mpya ya Makao Makuu iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Hafla hiyo ya uzinduzi itafanyika Oktoba 30, 2022 huku Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe ndiye atakayekuwa mgeni rasmi.
Kulingana na taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na chama hicho na kusainiwa na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mawasiliano ya Umma, Janeth Rithe leo Ijumaa, Oktoba 28, 2022 wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi watahudhuria.
Kwa hiyo mabilioni yote Chadema mlikuwa mkipata ruzuku mlitumia kuchapa vitabu vya sera? Mbona wanachama walio.wengi hizo.copy za sera hawana?Chama "SERA" sio majengo Mu7 alianzia jengo lipi? soon wataanza kuvuana na kuvalishana uanachama...
Yes ofisi Ile sio hadhi ya CHADEMA ila HAWAJAPANGA wamenunua majengo mawili tokea 2012 na recently Mnyika alipoingia ofisini wakaongeza jengo mtaa ule ule so unapotosha.Imagine kuna chama kilikua na ruzuku ya 1b per month, lakini ofisi waliyopanga ni kituko, narudia ofisi waliyopanga.. wao hawana hata kibanda wanachomiliki. Uliwaambia huu ukweli wanakujibu chama ni sera sio majengo... haishangazi kufananishwa na manyumbu
Nchi hii CCM ni tatizo, upinzani ni tatizo kuu.. bora wanachi tupige kimya tuone tu kesho kunakucha vipi.
HAWAJAPANGA mkuu mbona mnapotosha, waliyanunua tokea 2012 na 2020 waliongeza jengo jingine. Hoja iwe hadhi ya majengo ila sio UMILIKILengo la mada ni chadema.
Ila kweli katika yote chadema kwa hili la kuendelea kupangisha ofisi za makao makuu mmefeli pakubwa.
Ni kama vile hakuna anayetaka kujenga makao makuu atakayokuja kutumia kiongozi mwingine.
Huu ni ubinafsi wa hali ya juu.
Kwa hili,mi kama mfuasi wenu wa muda mrefu mmenikatisha tamaa na ninaamini wengi kama mie wamekata tamaa.
Hatuwezi kutegemea michango ya wanachama kwa ajili ya ujenzi pekee,lazima kiasi cha ruzuku kitumike katika hilo.
Poor chadema
Acha wivu wa kike, kama chama chenu pamoja na maruzuku ya kutosha mmeshindwa waacheni wenzenu wanaojua thamani ya kuwa na majengo yao wajenge, wengine wamenga'ang'a kwenye vichocholo ilituone ka eti hawezi kujenga kwao kwani ni matumizi mabaya ya rasilimali vhake kilizonazo chama ni unafiki tuu kwa wanachama wao. Wanakula wachache kidogo wanachopata wengi wao wakiishia kula jua na kufukuzwa kuchama ChaoChama "SERA" sio majengo Mu7 alianzia jengo lipi? soon wataanza kuvuana na kuvalishana uanachama...
Ni zaidi ya mchwa. Yule bwana ni tatizo, madeni hewa yanazalishwa kila kukicha.Chadema kubalini tu kuwa kuna mchwa ndani ya Chama
Ni vizuri hizi taarifa za upotoshaji ziwe zinatolewa ufafanuzi.HAWAJAPANGA mkuu mbona mnapotosha, waliyanunua tokea 2012 na 2020 waliongeza jengo jingine. Hoja iwe hadhi ya majengo ila sio UMILIKI
Imagine kuna chama kilikua na ruzuku ya 1b per month, lakini ofisi waliyopanga ni kituko, narudia ofisi waliyopanga.. wao hawana hata kibanda wanachomiliki. Uliwaambia huu ukweli wanakujibu chama ni sera sio majengo... haishangazi kufananishwa na manyumbu
Nchi hii CCM ni tatizo, upinzani ni tatizo kuu.. bora wanachi tupige kimya tuone tu kesho kunakucha vipi.
HAWAJAPANGA mkuu mbona mnapotosha, waliyanunua tokea 2012 na 2020 waliongeza jengo jingine. Hoja iwe hadhi ya majengo ila sio UMILIKI
Mkuu umeongea jambo la maana sana, nipo nasubiri majibu ya watetezi wa chadema. Nione watalijibu vipi hilo.Pitia viongozi wote wa CDM wa ngazi za juu toka 2010, aina ya majengo yao binafsi waliyojenga, na hadhi ya hiyo ofisi yao.
CCM ni tatizo, upinzani tatizo.. Na sisi watanzania ndio tunaendekeza haya matatizo.Imagine kuna chama kilikua na ruzuku ya 1b per month, lakini ofisi waliyopanga ni kituko, narudia ofisi waliyopanga.. wao hawana hata kibanda wanachomiliki. Uliwaambia huu ukweli wanakujibu chama ni sera sio majengo... haishangazi kufananishwa na manyumbu
Nchi hii CCM ni tatizo, upinzani ni tatizo kuu.. bora wanachi tupige kimya tuone tu kesho kunakucha vipi.
Wazee wa kujiteka wenyewe....Acha wivu wa kike, kama chama chenu pamoja na maruzuku ya kutosha mmeshindwa waacheni wenzenu wanaojua thamani ya kuwa na majengo yao wajenge, wengine wamenga'ang'a kwenye vichocholo ilituone ka eti hawezi kujenga kwao kwani ni matumizi mabaya ya rasilimali vhake kilizonazo chama ni unafiki tuu kwa wanachama wao. Wanakula wachache kidogo wanachopata wengi wao wakiishia kula jua na kufukuzwa kuchama Chao
Wenzenu wana jijenga ki-Digitali nyie munajenga vibanda.....Wazee wa kujiteka wenyewe....
Mbona zipo clarified hata Kuna Uzi humu wa 2012 both Makene na Dr Slaa walijibu hizi tuhuma kwa nyaraka.Ni vizuri hizi taarifa za upotoshaji ziwe zinatolewa ufafanuzi.
Mtaani kuna taarifa kuwa baadhi ya mali za chama zimesajiliwa kwa majina ya watu. Taarifa kama hizi zisipotolewa maelezo ni rahisi kuaminiwa
Chadema hawajapanga Bali walinunua Toka 2012.... Ila majengo Yale sio hadhi ya Chadema.Kile chama kingine pale Ufipa Street inakuwaje hadi sasa bado wanapanga? ACT imeanzishwa hivi karibuni lakini wanafanya makubwa.