ACT Wazalendo kuzindua makao makuu mapya

Ni kweli Mbowe anaweza kuwa na madhaifu ila ndio ameifikisha Chadema hapo ilipo so kuanzia kumlaumu kwa ofisi wakati alikua muasisi enzi hizo anatumia magari binafsi kujenga chama naona kama tuna downplay sacrifice yake!! Hivi unakumbuka Yale ma Pick up ya M4C? zaidi ya 20 yalinunuliwa ila sijawahi ona akipongezwa humu ilihali yalisaidia sana tokea enzi zile za Operation Sangara.

Kingine Chadema inaamini katika ugatuzi, so nguvu kubwa iliwekwa kwenye ofisi za Kanda na wewe ni shahidi karibu Kanda zote Kuna ofisi nzuri na kubwa za Chadema so strategy ilikua wakimaliza ugatuzi warudi makao makuu.

So nikijibu hoja Yako, pesa hazikukosekana ila kipaumbele ilikua kuimarisha chama kwenye grassroots hasa level ya Kanda.

Kuhusu ufisadi sio kweli CAG ameshakagua mara ngapi sijaona wakimkamata afisa yeyote wa Chadema kwa wizi! In fact JPM alivokua na kisasi unadhani asingempa kesi ya uhujumu uchumi kwa kuiba pesa ya Chadema?

Mnyika kaahidi ofisi kubwa kujengwa so tumpe muda kama alivyosema na ata deliver
 
Chadema haijawahi kupanga

MAALIMU SEIF KAUZA HII NYUMBA?
 
Makao makuu sio kipaumbele bali ni ubinafsi, hivi unajua CHADEMA wamejenga ofisi ngapi nchi nzima? Unakuwa na jengo moja zuri la gharama halafu huko kwingine ni mataputapu huu ni ubinafsi wa hali ya juu sana
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza kwamba mpaka sasa kimejenga ofisi mpya za kisasa zinazofikia idadi ya 457, nchi nzima.

Jambo hili limefichuliwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho, John Mnyika akiwa Mkoani Rukwa kwa ajili ya mpango wa kisasa wa kusajili wanachama unaoitwa Chadema Digital.

Mnyika amedai kwamba Chadema iliona ni vema kupeleka majengo kwenye mzizi wa wanachama nchi nzima badala ya kuweka jengo moja lenye vyumba 450 Makao Makuu, na kwamba mchakato wa Ujenzi wa Makao Makuu utaanza baada ya kusimika ofisi nchi nzima.
 
Ujinga at the highest level.. Fahari ndio mama wa ujinga.. Jengo sasa ni kubwa kuliko chama [emoji23]
 
Chadema hawataki maendeleo ya vitu.
 
Hebu tupe mrejesho wa Yanga na simba, timu zenye miaka zaidi ya 70, je zina viwanja vyake kama Azam FC? Je washabiki wa timu hizo wamehamia kushabikia Azam kwakuwa ina kiwanja chake?
Wao hawapewi ruzuku na wanachama hawa changishwi ovyo na hata mishahara ya viongozi na wachezaji siyo jasho la wananchi.
 
Mkuu ofisi ya kanda ya kaskazini iko wapi? Je imejengwa au kununuliwa na chama? Ni kweli Mbowe alisacrifice hilo sipingi, je hiyo ni sababu ya kubaki hapo kwenye uenyekiti daima?
 
acheni mfano kanda ya pwani ofisi iko wapi?
 
chaijaba limehamia ACT
 
Mkuu ofisi ya kanda ya kaskazini iko wapi? Je imejengwa au kununuliwa na chama? Ni kweli Mbowe alisacrifice hilo sipingi, je hiyo ni sababu ya kubaki hapo kwenye uenyekiti daima?
Alishasema anastaafu 2024, ataenda kwenye bodi ya wadhamini!! So unless aghairi ila aliahidi Hilo baada ya uchaguzi 2020 so ni utekelezaji tu umebaki.

2. Ku sacrifice haimaanishi asiondoke ila najaribu kusema tusimpime kwa kujenga ofisi ila tuangalie picha kubwa kuanzia kutafuta Hela za magari ya M4C, kujenga Chama Kila kita nchi hii, kusala bajeti ya Chadema ni msingi mfano kule Mbagala Kuna nyumba imenunuliwa na maofisa wa Chadema wameweka kambi pale kujenga chama kuelekea 2025 na makao makuu imetoa double cabin kuzunguka Kila siku Sasa vitu kama hivi haviwezi onekana huko nje ila ni pesa inatumika na ruzuku hakuna!! Sasa imagine enzi zile hatuna wanachama gharama kiasi gani ilitumika kwenye kampeni za Mbowe 2005??

So tusiwe wepesi wa kulalamika ila tuangalie picha kubwa kwamba kama Mbowe angekua mlafi wa Hela sidhani hata chama kingefika hapa kilipo angekua "ameshakimbilia" CCM zamani sana analamba asali kama Zitto au Lipumba kwani angepoteza Nini mkuu?
 
Mkuu ofisi ya kanda ya kaskazini iko wapi? Je imejengwa au kununuliwa na chama? Ni kweli Mbowe alisacrifice hilo sipingi, je hiyo ni sababu ya kubaki hapo kwenye uenyekiti daima?
Kaskazini ndio Ili ilichomwa kipindi Cha kampeni hapa ni baadhi ya ofisi za Kanda
Your browser is not able to display this video.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…