Uwizi uliopo pale chadema sio rahisi wakaweza kujenga ofisiPenye njia pana njia Act wazalendo wana nia thabiti ya kuwa ruling political party.
Chadema imejaa waswahili na wajanja ambao hawana nia njema kabisa.View attachment 2396496
View attachment 2396497
Kwani chadema wana shida gani si wanayo Kilimanjaro tayari?Hawa si wanatawala kule ng'ambo ya bahari. Hakuna shida.
Mbona weye chupi yako imetoboka katikati na hatujamuambia mtu.Penye njia pana njia Act wazalendo wana nia thabiti ya kuwa ruling political party.
Chadema imejaa waswahili na wajanja ambao hawana nia njema kabisa.View attachment 2396496
View attachment 2396497
Hivi pale ni ofisi au ni nyumbani kwa mtu ?Chadema ni Chama langu, ila hapo kwenye ofisi za makao makuu wanazingua kinyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahah! Na ikitokea mkaingia madarakani mtawaambia wananchi wasidai elimu bora, maji safi wala umeme kwasababu vyote hivyo vinapatikana mioyoni mwao! Ahahahahah! Ahahahahah! Chadema nyie wajanja! Mnawaandaa watu taratiiiibu!!!Waambie Bwana zao CCM wawajengee ofisi lakini CDM imejengwa mioyonni mwa watanzania!
Acheni ubabaishaji kwa hiyo huko mioyoni ndio mtakuwa mnapokelea shida za wanachama wenu hukoWaambie Bwana zao CCM wawajengee ofisi lakini CDM imejengwa mioyoni mwa watanzania!
Dubwasha la chato lilikubutua sana, inaonekana lilikuachia kovu kunakoili zikusaidie ninini mzee.... chadema haina ofisi lakini wabunge wake waliishia kupewa mamilioni ili waunge mkono za ujinga wa lile dubwasha la chatto
Si huwa unasema ofisi iko mioyoni mwa watu?Pamoja na utetezi wote, bado CDM walipaswa na wanapaswa kuwa na ofisi ya hadhi ya chama chao. Sio sahihi kwa chama kikubwa na chenye ushawishi mkubwa bila kutegemea vyombo vya dola, kukosa ofisi ya kisasa kuendana na hadhi yake. 300-500m could make a very good office.
Nyumbani kwa bamkwe wa MboweHivi pale ni ofisi au ni nyumbani kwa mtu ?
ACT = Alliance Of Cowards & TraitorsPenye njia pana njia Act wazalendo wana nia thabiti ya kuwa ruling political party.
Chadema imejaa waswahili na wajanja ambao hawana nia njema kabisa.View attachment 2396496
View attachment 2396497
Si huwa unasema ofisi iko mioyoni mwa watu?
CDM Kuna mchwa, mchwa mwenye kichwa kikubwa anayekula zaidi ni Mwenyekiti, anafuata Katibu, ona Mnyika shavu zilivyovimba kama pnyaPenye njia pana njia Act Wazalendo wana nia thabiti ya kuwa ruling political party.
Chadema imejaa waswahili na wajanja ambao hawana nia njema kabisa.
View attachment 2396496
View attachment 2396497