ACT Wazalendo kuzindua Ofisi Mpya ya kisasa huku CHADEMA wakiwa wamepanga uswahilini zaidi ya miaka 20

ACT Wazalendo kuzindua Ofisi Mpya ya kisasa huku CHADEMA wakiwa wamepanga uswahilini zaidi ya miaka 20

Utasikia siku ya ufunguzi wamewaalika "financier" wao CCM. Unafiki hauna haya.
"Anaemlipa mpiga zumari ndiye anaechagua wimbo"
 
Ila nalo hili la CHADEMA kukosa ofisi ya kisasa linatia kinyaa. Ni kama Yanga na logo yao ya boxing na mwenge.
 
Waambie Bwana zao CCM wawajengee ofisi lakini CDM imejengwa mioyonni mwa watanzania!
Ahahahahah! Na ikitokea mkaingia madarakani mtawaambia wananchi wasidai elimu bora, maji safi wala umeme kwasababu vyote hivyo vinapatikana mioyoni mwao! Ahahahahah! Ahahahahah! Chadema nyie wajanja! Mnawaandaa watu taratiiiibu!!!
 
ili zikusaidie ninini mzee.... chadema haina ofisi lakini wabunge wake waliishia kupewa mamilioni ili waunge mkono za ujinga wa lile dubwasha la chatto
Dubwasha la chato lilikubutua sana, inaonekana lilikuachia kovu kunako
 
Pamoja na utetezi wote, bado CDM walipaswa na wanapaswa kuwa na ofisi ya hadhi ya chama chao. Sio sahihi kwa chama kikubwa na chenye ushawishi mkubwa bila kutegemea vyombo vya dola, kukosa ofisi ya kisasa kuendana na hadhi yake. 300-500m could make a very good office.
Si huwa unasema ofisi iko mioyoni mwa watu?
 
ACT haiwezi ifikia Chadema....
Sana sana wataendelea kupata Uwakilishi Zanzibar
 
Back
Top Bottom