ACT Wazalendo kuzindua Ofisi Mpya ya kisasa huku CHADEMA wakiwa wamepanga uswahilini zaidi ya miaka 20

ACT Wazalendo kuzindua Ofisi Mpya ya kisasa huku CHADEMA wakiwa wamepanga uswahilini zaidi ya miaka 20

ili zikusaidie ninini mzee.... chadema haina ofisi lakini wabunge wake waliishia kupewa mamilioni ili waunge mkono za ujinga wa lile dubwasha la chatto
Jengeni ofisi za kutunzia nyaraka
 
Jengeni ofisi za kutunzia nyaraka
Unawaza kizamani kama punguani mwendazake wewe .... kakwambia nani nyaraka zinatunzwa ofisini karne ya 21? ili mzichome moto
wauaji wakubwa nyie
ndo mana mungu akawashushia rungu zito sasa mmebaki mnaweweseka
 
Unawaza kizamani kama punguani mwendazake wewe .... kakwambia nani nyaraka zinatunzwa ofisini karne ya 21? ili mzichome moto
wauaji wakubwa nyie
ndo mana mungu akawashushia rungu zito sasa mmebaki mnaweweseka
Ahaa. Mtatunza kidigitali? Vipi kuhusu . nyaraka ngumu?
 
Pamoja na utetezi wote, bado CDM walipaswa na wanapaswa kuwa na ofisi ya hadhi ya chama chao. Sio sahihi kwa chama kikubwa na chenye ushawishi mkubwa bila kutegemea vyombo vya dola, kukosa ofisi ya kisasa kuendana na hadhi yake. 300-500m could make a very good office.
 
Ifike hatua Chadema [ wanachama wao wote] waone aibu na wajitathmini juu ya hili swala na wasitumie sababu za kijinga kijinga na za kitoto kufuta hii aibu yao ya zaidi ya miaka 30.

: Kama wana shindwa kuweka ofisi yao kuu ya chama katika ubora je wataweza kweli kuiweka nchi na miradi ya nchi katika ubora ?
 
Nani amekwambia chama ni Majengo? Chama ni wafuasi. Itikadi yako ikae ndani ya mioyo ya watu.
 
Tumia akili, unataka Chadema wamiliki jengo la ofisi katika zama za watu wenye mikakati ya kuumizana, kesho yake isemwe ibomolewe[emoji4]. Huo mfano wa risk mojawapo.
Kama hauamini hilo, jiulize kwanini vyama vya siasa bado havifanyi siasa huru, hawaruhusiwi kuandaa majukwaa.
Hakuna wapaza sauti masuala muhimu yanayogusa maisha ya mwananchi yakiwa hayaendi sawa.
Acha mawazo finyu. Mbona Kuna baazi ya majimbo ya mejenga ,na hazijabomolewa?
 
Back
Top Bottom