ACT- Wazalendo, matokeo ya uchaguzi mdogo Jimbo la Konde ni ya kupika

Yale Yale madudu ya Magufuli kwenye chaguzi ndio hayo hayo ninayoyaona kwa mama
 
Ifikie wakati Wazansibar waache kula kodi za wanyonge kirahisi rahisi tu! Yaani Jimbo zima la uchaguzi lina wapiga kura wasiozidi elfu 5!!
 
Mtalia sana na kusaga meno

Yani kuna chama kina kura 3 halafu 1%
Chama kingine kura 4 halafu 0%

Upinzani mmelala yoooo
 
Ndani ya kitanda cha ndoa kuna kubakwa pia, siri hulazimika kubaki sirini na si vyema mtoto wa kike kulalamika na kubwabwaja hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…