Hivi huyo au hao wagombea wanaviziwa na kupigwa tu kama digidigi au kwale ndege?
Kama ndivyo, basi hata hao wagombea watakuwa wamekubali na walikuwa tayari kupigwa...
And to be honest, binafsi naweza kusema wazi kuwa hao wagombea ni wapumbavu na wajinga kwa sbb haiwezekani katika mazingira ya uchaguzi wa mwaka huu yalivyo tense na hatari mtu mwanamageuzi uwe mzembe zembe, hutumii akili ktk kutenda kila jambo kiasi hiki halafu ukaachwa salama....!
Chama tawala CCM kiko "so desperate" kuhakikisha kinabaki madarakani kwa ushindi wa namna yoyote...
Chama tawala CCM hakina hoja za majukwaani za kuendelea kuwadanganya watu. Option yao iliyobaki ni kutumia mabavu tu hata ikibidi watu wafe...!!
Kwanini wagombea hao wa CHADEMA na ACT - WAZALENDO wako insensitive kiasi hicho wasitambue hili na kuwa makini na waangalifu muda wote ikiwemo kwenye makazi yao, maeneo wanayotembelea, muda wanaotembea nk nk??
Acha tu wadundwe hao, hawana akili!
After all, Maelekezo yalishatolewa kuwa, wagombea wa vyama pinzani na CCM kila wanalofanya wawe wanashirikiana na wapenzi na wanachama wao ikiwemo kwenda kuchukua na kurudisha fomu za uteuzi...?
Sasa huko Ruangwa kunani hata wapigwe tu kama mbuzi??