Pre GE2025 ACT-Wazalendo msifanye kosa la kumpa Tundu Lissu kugombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Matulanya Mputa

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2023
Posts
245
Reaction score
655
Ukweli usiofichika ni kwamba Tundu Lissu ameshakataliwa na mfumo wa serikali hata mfumo wa CHADEMA.

Tundu Lissu ni mtu ambaye muda na dakika yoyote anasubiri kutupwa nje ya CHADEMA kama alivyo Msigwa.

Kwa kuwa bado anamtazamo wa kuutaka urais, hivyo ACT-WAZALENDO ndiyo kimbilio lake; kwa hiyo, ACT-WAZALENDO, Lissu si msaada kwenu kisiasa.
 
Lisu hajui siasa ila anajua sheria sasa anatumia msuli wa sheria kwenye siasa ndo anajikuta anapoteana. Hata chadema wengi hawamuelewi sasa hivi ila basi tu unafiki ni kawaida kwenye siasa
 
Ukweli usiofichika Tundu Lissu ameshakataliwa na mfumo wa serikali ata mfumo wa CHADEMA.
TUNDU Lissu ni mtu ambaye muda na dakika yeyote anasubiri kutupwa nje ya CHADEMA kama alivyo Msigwa
Kwakuwa bado anamtazamo wa kuutaka uraisi hivyo ACT-WAZALENDO ndyo kimbilio lake kwahyo ACT-WAZALENDO Lissu si msaada kwenu kisiasa.
Takataka...................ignore please
 
Woga wa Nini? Yule ni mtanganyika anayonhaki ya kugombea popote

Na kugombea watanganyika tutampa kura

Tunajua mfumo wenu. (System) dhaifu mnapambana ilibmaman yenu mchovuvllu apate mpinzani dhaifu. Lakini hamtofanikiwa
 
Ukweli usiofichika Tundu Lissu ameshakataliwa na mfumo wa serikali ata mfumo wa CHADEMA.
TUNDU Lissu ni mtu ambaye muda na dakika yeyote anasubiri kutupwa nje ya CHADEMA kama alivyo Msigwa
Kwakuwa bado anamtazamo wa kuutaka uraisi hivyo ACT-WAZALENDO ndyo kimbilio lake kwahyo ACT-WAZALENDO Lissu si msaada kwenu kisiasa.
Misukule ya Mzee Mbowe mtahangaika sana,Lissu shikilia hapo hapo hadi kieleweke ingawaje imekuchukua muda saana kugundua kuwa SACCOS inaendeshwa na wahuni tu
 
Lisu hajui siasa ila anajua sheria sasa anatumia msuli wa sheria kwenye siasa ndo anajikuta anapoteana. Hata chadema wengi hawamuelewi sasa hivi ila basi tu unafiki ni kawaida kwenye siasa
Unamminia risasi mtu asiyejua siasa?
Unaitofautisha vipi siasa na sheria?
Wewe ulisoma wapi? Kwa level gani na ulianza lini kufuatilia siasa za tanzania
 
Kitu ambacho hujui mleta Uzi Lissu akiitaji tu uwaziri ni simu mmoja tena mwanasheria mkuu waserikali akitaka sema ndo ivyo Lissu ajamua kupita njia hiyo
 
Ugombea Urais kwa Chama chochote itategemea upepo wa kisiasa mapema mwakani 2025, kwa sasa ni nguvu kujua maana katika kila Chama kunavuka moshi.
 
Ni vema kujifunza kuandika na kuishi kwa ukweli mara zote.Kuanzisha uzi kwa chuki tu ambayo sababu anayo mleta uzi haisaidii kuinua uchumi wa nchi au mtu mmojammoja. Thus,hatred won't help!
 
Ukweli usiofichika Tundu Lissu ameshakataliwa na mfumo wa serikali ata mfumo wa CHADEMA.
TUNDU Lissu ni mtu ambaye muda na dakika yeyote anasubiri kutupwa nje ya CHADEMA kama alivyo Msigwa
Kwakuwa bado anamtazamo wa kuutaka uraisi hivyo ACT-WAZALENDO ndyo kimbilio lake kwahyo ACT-WAZALENDO Lissu si msaada kwenu kisiasa.

Yaani serikali inatuchagulia Rais?
 
Ukweli usiofichika Tundu Lissu ameshakataliwa na mfumo wa serikali ata mfumo wa CHADEMA.
TUNDU Lissu ni mtu ambaye muda na dakika yeyote anasubiri kutupwa nje ya CHADEMA kama alivyo Msigwa
Kwakuwa bado anamtazamo wa kuutaka uraisi hivyo ACT-WAZALENDO ndyo kimbilio lake kwahyo ACT-WAZALENDO Lissu si msaada kwenu kisiasa.
Kwa taarifa yako wananchi wengi wana imani na Lisu, na sio hao system ya majizi, ama ACT.
 
Back
Top Bottom