Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kiala ukifika wakati wa uchaguzi ACT inakuwa LULU Kwa ccm? Chama hiki mfu kinategemea TISS, POLICE Na KWTZ ili kishinde uchaguzi.Ukweli usiofichika ni kwamba Tundu Lissu ameshakataliwa na mfumo wa serikali hata mfumo wa CHADEMA.
Tundu Lissu ni mtu ambaye muda na dakika yoyote anasubiri kutupwa nje ya CHADEMA kama alivyo Msigwa.
Kwa kuwa bado anamtazamo wa kuutaka urais, hivyo ACT-WAZALENDO ndiyo kimbilio lake; kwa hiyo, ACT-WAZALENDO, Lissu si msaada kwenu kisiasa.
Hakina cha kuwaambia watz kwani miaka 60 plus ya uhuru hakana maji ya uhakika, umeme na elimu ni duni kwa wananchi wake. Rushwa, kuuza mali za umma na wizi wa kura ndiyo mtaji wa chama hiki
Makada wake wamejaa propaganda za uongo na uzushi