Pre GE2025 ACT-Wazalendo msifanye kosa la kumpa Tundu Lissu kugombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiala ukifika wakati wa uchaguzi ACT inakuwa LULU Kwa ccm? Chama hiki mfu kinategemea TISS, POLICE Na KWTZ ili kishinde uchaguzi.
Hakina cha kuwaambia watz kwani miaka 60 plus ya uhuru hakana maji ya uhakika, umeme na elimu ni duni kwa wananchi wake. Rushwa, kuuza mali za umma na wizi wa kura ndiyo mtaji wa chama hiki
Makada wake wamejaa propaganda za uongo na uzushi
 
😂😂Kama Trump
 
Adui No 1 ndani ya chadema ni Mbowe huyu anatumika na kutumiwa na raia feki ...Mbowe ananunulika kirahisi sana ni kama kununua kahaba kimboka
 
Lisu hajui siasa ila anajua sheria sasa anatumia msuli wa sheria kwenye siasa ndo anajikuta anapoteana. Hata chadema wengi hawamuelewi sasa hivi ila basi tu unafiki ni kawaida kwenye siasa
Ulitakiwa ujue kwanini asilimia 60% ya marais duniani wamesomea sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…