ACT-Wazalendo na CHADEMA, achananeni na dhana ya ukuu/ukubwa miongoni mwa vyama vya upinzani nchini

Hivi kuna Tanzania bara? Na wewe ni Mwanahabari tena wazamani kama ulivyosema pale star tv.

Acheni kutengeneza historia yetu bwana nchi ni mbili moja Zanzibar na nchi nyingine ni Tanganyika.
 

Umedanganya
 
Hivi kuna Tanzania bara? Na wewe ni Mwanahabari tena wazamani kama ulivyosema pale star tv.

Acheni kutengeneza historia yetu bwana nchi ni mbili moja Zanzibar na nchi nyingine ni Tanganyika.
Nchi ni moja tuu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye sehemu mbili, Tanzania Bara, na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Tanganyika alikufa ile tarehe 26 April, 1964 siku alipozaliwa Tanzania.
P
 
Nchi ni moja tuu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye sehemu mbili, Tanzania Bara, na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Tanganyika alikufa ile tarehe 26 April, 1964 siku alipozaliwa Tanzania.
P
Aisee!! Yani nashindwa kuelewa tuna nature wa wanahabari wa aina gani?

Unaposema jina ni moja yani "Jumhuri ya Muungano wa Tanzania " kuna nchi mbili unasema nchi moja ilikufa? Hapa kwenye Tanzania kuna Tanganyika na Zanzibar hakuna jina lingine.

Sitaki kuelezea Jina Jumhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa kuna makosa kwa KISWAHILI sahihi.

Lakini hapa nataka kukwambia kuwa Tanzania ni yenye nchi mbili moja ni Zanzibar na nyingine Tanganyika.
 
P- hivi kule Zambia unakumbukumbu za kuandikwa kwa katiba mpya?
1964 na 1991 2016 walifanya mabadiliko kuondoa presidential tenure limit kwa shinikizo la Lungu ila kaangukia pua.

Kimsingi wazambia waliondoka kwenye ushamba wa madaraka kama walionao ccm.

Ubunge tu mnaniga watu.
 
Hizi ni miongoni mwa fikra zinazotuharibia vyama vyetu vya upinzani, kwanini uite mwenzako msaliti kwa kutofatiana mawazo , hao wote unaowaita wasaliti ukipewa madaraka itakuaje, fikra zako zinalenga kugawanya upinzani na kuubomoa badala ya kuleta umoja wa vyama vya upinzani.
 
Mimi nasema kweli siku zote. Naujua ushahidi chungu nzima kuhusu usaliti wa Zitto kuanzia miezi michache kabla ya uchaguzi wa 2010 ambao ulisababisha AFUKUZWE Chadema na usaliti huo unaendelea hadi sasa.
 
Mkuu mr mkiki, mjinga ni mtu asiyejua, akielimishwa akajua, ujinga unamtoka, anakuwa mwerevu, ila mpumbavu ni yule mjinga asiyefundishika. Kwenye hili la muungano, wewe Mkuu Mr. mkiki ni mjinga tuu, hivyo najitolea kukufundisha kukutoa ujinga kuhusu Tanzania.

Kuna aina kuu mbili za muungano, aina ya kwanza ni union, na aina ya pili ni fédération.

Union ni nchi mbili au zaidi zinapoungana kuunda nchi moja. Muungano wa Tanzania ni union, ya nchi iliyokuwa Tanganyika ikaungana na nchi iliyokuwa ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, nchi hizi zote mbili zikafa, ikazaliwa nchi mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili na sio nchi mbili. As we speak now, hakuna tena Tanganyika wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, zote zimekufa, kilichopo ni nchi moja tuu ya Tanzania.

Kama mpaka hapa hujaelewa, then wewe utakuwa sio mjinga, bali ni...
naomba nisimalizie...
P
 
Ni kweli kabisa Salary, ni sawa na hii ishu ya CDM kushinikiza kuonana na Samia wao kama wao bila uwepo wa vyama vingine, wakiamini wao ni bora kuliko vyama vingine, hiyo ni wrong na ni ubinafsi
 
mkuu namba hazidanganyi , kila mtu anaufahamu ukubwa wa Chadema
 
Zanzibar ni nchi , kama hujui labda ndio maana wanaccm wenzio walikupa kura 1 , huku mpwa wa Magufuli asiye na nyumba wala kiwanja kinondoni akiongoza
 
Chadema ishajifia toka iuzwe na mbowe kwa fisadi edo! Laana za kumfukuza Dr Slaa na kumkumbatia edo
 
Acheni wananchi waamue kama kweli hakuna upinzani serious na si kutumia dola kudhibiti upinzani.

Simple like that.
Huyo Rais wa Zambia ana kesi 15,hakuita wazungu mahakamani wala kukimbilia ulaya,katoboa kwa sera tu,yaani ushindi ni mapema
Pasco kasema hakuna upinzani serious wewe unasema acheni wananchi waamue
 
Chadema ishajifia toka iuzwe na mbowe kwa fisadi edo! Laana za kumfukuza Dr Slaa na kumkumbatia edo
Sasa hao mnaopambana nao kwa kuwateka,kuwaua,kuwapiga risasi na kuwabambikia kesi chungu nzima ni kina nani?
Acha maneno ya kike.
 
Act na chadema kipi chenye wabunge wengi!
 
Huyo Rais wa Zambia ana kesi 15,hakuita wazungu mahakamani wala kukimbilia ulaya,katoboa kwa sera tu,yaani ushindi ni mapema
Pasco kasema hakuna upinzani serious wewe unasema acheni wananchi waamue
Lakini yeye hawakumpiga marisasi 38 na hawajamvunja miguu.

Mawakala wake hawakufyekwa mapanga ili wasiwepo kwenye vituo vya kuhesabia kura.

Upinzani ambao hauko serious mnatumia marisasi na mapanga ukiwa serious mtatumia atomic bombs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…